Recent content by sam97

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo??? Na nini kifanyike???

    bhana eeeh msitutishe chuo tutaenda na clubs vile vile tutanenda alafu tuone kama tutasup.........
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Chuo kikuu cha Kampala (KIU)

    Ongera umechaguliwa chuo kizuri sana... Ukifika goms niambie nikupeleke chuo.... Mm ni dereva wa boda boda
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa Bachelor in legal and industrial metrology CBE, iko vipi?

    Ongera umechaguliwa chuo cha watoto wazuri.......
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mliochaguliwa vyuo vikuu

    Kesho nitakupa mtihani wa kuhitimu....
  5. S

    JamiiForums Tanzania Selection Mwenge Catholic University zimetoka, tembeleeni website ya chuo

    yeah kaka c unajua hostel mizinguo....
  6. S

    JamiiForums Tanzania Selection Mwenge Catholic University zimetoka, tembeleeni website ya chuo

    jamani mm nimechaguliwa hapo vp vyumba vya kupanga nje ya chuo vipo.....?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kampala international University 1st year tukutane hapa

    Ongera kaka umepata chuo kizur xaaanah....
  8. S

    JamiiForums Tanzania LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

    aah huyu jamaa bhana cjui amejifikiria nn mpaka anavilinganisha ivi vyuo...... yani hapa sawa sawa ana mlinganisha diamond na kiba......
  9. S

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu Mwenge Catholic University (MWECAU) nitakujibu.

    duuh nitaweza kweliii....
  10. S

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu Mwenge Catholic University (MWECAU) nitakujibu.

    Jaman mm nisiwe muongo nimechaguliwa hapo education.... swali langu vipi kuhusu bata maana mm napenda sana bata ukumbi za starehe huko moshi zipo maana chuo chenyewe jina linanitisha........
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mwenge catholic university

    kwanini
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mwenge catholic university

    Daaah jaman mbona tunatishana sasa mm nimechaguliwa hapo vp mambo ya bata yapo hapo au........
  13. S

    JamiiForums Tanzania Selection za chuo kwa first round zitachukua muda gani kutoka?

    ilo swali kwa kweli nimelipenda sana ni nzuri jamani
  14. S

    JamiiForums Tanzania Serikali hii imeamua kupunguza wasomi Tanzania

    kwa utafiti wangu wa kijinga umu ndani waliofikisha 3.5 GPA hawafiki hata kumi........
Back
Top Bottom