Recent content by SAM-WISE

  1. S

    JamiiForums Tanzania Orodha ya matajiri wa Tanzania ambao licha ya utajiri wao lakini wamechagua maisha ya faragha

    Nakumbusha tu hao, hawana habari ya udongo, mafuta, maji au gesi ya upako na miujiza. Ni kazi na kucheza na fursa za udhaifu wa taasisi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hebu tupige story kidogo kuhusu ukatili katika ndoa, je ndoa za wake wengi nako kuna mauwaji?

    INASEMEKANA: wanaume wenye wake wengi ndio wenye maisha marefu, ebu na wewe chunguza huko unako ishi Hakuna matukio ya ukatili wa kijinsia Mungu mwenyewe alikua upande wa Mitume na manabii wenye wake wengi kama: 1. Ibrahimu 2. Yakobo (Israeli) 3. Musa 4. Daudi 5. Sulemani
  3. S

    JamiiForums Tanzania Makabila wanawake husifiwa uvumilivu, wasiofuata mali, hujenga familia za kudumu hadi kifo na huchepuka kwa tahadhari bila kuvuruga ndoa zao

    3.Wasafwa 4.Wasandawe (hawa ni wake wazuri sana tangu tumbo ni mwa mama zao.) 5. wanyakyusa. Nisikie mtu akiwataja, wangoni, wapare, wachaga wahaya...matackle yako.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kichaga hasa hawa kutoka Machame ndiyo wanawake wife material

    Ni suala la muda, ulale pema peponi bro
  5. S

    JamiiForums Tanzania 🦟 "A fool thinks himself to be wise, but a wise man knows himself to be a fool" — Ugonjwa wa 'Machawa' na Unafiki wa Kupiga Vigelegele

    "When a fool gains power, the first thing he does is silence the wise; the next thing he does is gather other fools around him; and the final thing he does is destroy the nation" -by Plato "Mjinga anapopata madaraka, jambo la kwanza analofanya ni kuwanyamazisha wenye hekima; linalofuata ni...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Sheria ya ndoa, The Law of Marriage Act, 1971, Chapter 29 (Sheria ya Ndoa). Sheria hii inahusu ndoa, haki na wajibu wa mume na mke, mali za ndoa, kutengana, talaka, na mambo mengine ya kifamilia. Toleo lililorekebishwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu lipo kama Cap. 29 R.E. 2023. KOSA LIKO HAPA...
  7. S

    JamiiForums Tanzania (TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

    Kuwa na tamaa ya mali sio mbaya, kikubwa tafuta mali ukiwa kwenu! sio mpaka uolewe au uoe. Narudi tafuta mali hukiwa pekeyako ili ziwe za peke yako. Kuolewa sio shortcut ya kumiliki mali Kwa miaka mingi kumekuwepo na taarifa za wanawake wa kabila hilo kuua wanaume kwa ajili ya kumiliki...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sisi Watibeli hatuoni ajabu kusikia mtu katolewa maini kisa kutaka mali zisizo zake kwa kisingizio cha kuwa ni mke/mume

    Kuna haja ya kuwepo siku ya kuwakumbuka hawa mashujaa. 1.Laurent kweka 2.Aliyeua mwanmke kwa risasi saba, Mwanza 3.aliyeua mke kwa gunia mbili za mkaa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa baadhi ya wanawake

    Ukisia mwanaume kaua mke, msiwe wepesi wa kulaumu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Niuwe nakuambia, niuweeeeeh....

    Mwanaume Ukiweza tafuta pesa kihalali, kula vizuri, vaa vizuri na lala pazuri.Tunza wazazi wako. Hizi mambo ya ndoa kaa nayo mbali
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

    NDOA ZA HAO WATU ZINA SIFA TATU: 1.TALAKA 2.KUUA 3.KUAWA
  12. S

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kwenye hii Picha iliyopigwa baada ya ajali ya Chivayo?

    Je hakuna nabii njaa liyetabiri kuanguka kwa ndege na mwisho wa maisha ya hili jitu?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Serikali imetuletea vibwego kutoka madiba

    Halafu una ambiwa hawa ndio walikua wana chukua nafasi za kazi za wazawa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza the likes ya watu kama aunty, gigi, wolper, uwoya, etc wanatoa wapi pesa hadi wana push magari ya 100m+

    Nina ndugu, alikua anafanya kazi kitengo kizuri cha mamalaka flani hivi. Yeye kumiliki milion 300+ kwenye akaunti zake za benki sio kitu cha kushangaza. Utawala ulipo badirika, akapigwa chini. Kawa mlevi mbwa, kwani hakujua namna ya kutafuta fedha kwa jasho. Hivi nina vyo andika hata uwezo wa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva wa mabasi ni haramu hawatakiwi kuchekewa

    Nakumbusha tu yale sio magari ya chama wala serikali. hatua ya kwanza peleka basi zako na piga trip za kutosha achana na hawa wapuuzi wa kugoma
Back
Top Bottom