concept hapa ni associattion ya CDM na CDU, suala la association ni zuri sana kwa vyama ,ni ni utaratibu wa kawaida wa ki siasa.lakini wakati chama kina tafuta associate ni lazima kuwe kuna hali ya kushare values,attidude,kwa % kubwa.lakini association pia lazima iwe na positive impact kwa...
Napenda mbuge anaye wasilisha mawazo yake binafsi hata kama yapo tofauti na chama. kila siku humu mnawalalamikia wabunge wa CCM kua wana kubaliana na kila kitu ilmarad serikali imesema, mmeona sasa shida ya kwenda kinyume na chama? zamu yetu sasa ku live a talk
ni kweli muweka thread hana data na ameshauri wasio na data wasiongee kitu,ingawa yeye ameongea,still hukupaswa kumtukana bwana huyu kiasi hicho...kwani huwezi kujibu hoja mpaka matusi yatangulie? any way nawe umedai ni mwislam na kusema kikwete ana lete udini,ana wapendelea ninyi waislam eti...
poleni watu wa Tabora mjini kwa kumchagua RAGE,ambaye ni MWIZI WA PESA za TFF alihukumiwa kwa wizi na akafungwa kutokana na Kosa la WIZI
wizi ni tabia ambayo ni vigumu kuiacha,sijui watu wa tabora walimuamini vipi kua ameaacha WIZI kama ambvyo mahakama zetu za Tanzania zilithibitisha?
Nadhani...
pamoja na mambo mengine,Mwana Halisi limepoteza dira kabisa na mvuto wake wa awali umepungua kiasi cha kusubiri tu muda mfupi wa kulizika kabisa gazeti hili.
Gazeti limekua ni la UDAKU wa kisiasa kwa muda mrefu sasa,lime acha kuandika habari za kiuchunguzi na kuandika personal issues za watu...
Inaonyesha mbowe hakuongeaa kitu cha maana kabisa,hakuna hata mmoja kwenye thread hii alie eleza kitu cha msingi alicho sema zaidi ya kutumia ipad2 technology. binafsi nimemsikiliza ametumia muda mwingi ku lalama badala ya kutoa strategies n plans endapo chadema wangekua serikali wange fanya nn.
binafsi nime msikia akisema "HAPANA" fuatilia hansard za bunge jana, acheni uzushi....eti mmesha mpa na sababu kisa posho,kwa nini msi muulize? achanei uhuni wa kuandika andika tu
uamuzi mzurii, zitto kama waziri wa fedha wa kambi ya upinzani,awaagize pia wabunge wa kambi yake waache posho hizo kwa kua ndo opposition working budget waliyo ipitisha wote, huku wakishinikiza serikali kuungana na sera yao...other wise its good move to zitto as zitto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.