Recent content by saly muh

  1. saly muh

    Mnishauri......!!! Nimsaidieje shemeji yangu.......?

    Aombe talaka tu..kamvumilia vya kutosha..hii sio karne ya kuvumiliana
  2. saly muh

    Group bomba ya whatsup

    Kama unapenda kusocialise tupia namba wadau.itanoga tuu
  3. saly muh

    Hii inaudhi sana bwana, je ushawahi kukutana nayo??

    Coral umenikosha..big up u r a gentleman
  4. saly muh

    Msaada wa kupata shule hizi nauomba wana jf..ntashukurujeh

    Ivi ww mwenye jna mzee huelewi au??!!!napeleka mtoto..kama hujui izo shule ungepita tuu haikua na haja ya kuingia kwenye thread!
  5. saly muh

    Nilimuambia hakuna kuduu, hadi siku ya ndoa, ila sasa najuta!!

    Big up sana ..Mungu akutie nguvu.
  6. saly muh

    Msaada wa kujua shule izi zilipo

    Shule za serikali za sekondari nje kidogo ya dar..i gues nimeeleweka
  7. saly muh

    Natafta modelling Agencies

    Cjakuelewa naomba nieleweshe apo vzr
  8. saly muh

    Natafta modelling Agencies

    Ni mbunifu na pia i believe naweza nkafanya modelling
  9. saly muh

    Natafta modelling Agencies

    Am a lady
  10. saly muh

    Natafta modelling Agencies

    Nina passion sana na mambo ya urembo na modelling..mavazi na vitu vinavoendana na urembo..mwenye clue where i could get a modelling agency anisaidie wadau.muwe na mchana mwema.
  11. saly muh

    Msaada wa kujua shule izi zilipo

    Habar za majukumu wanajf..mi naomba msaada wa shule za sekondari za serikali.zilizopo nje kidogo ya mkoa wa dar.
  12. saly muh

    Msaada wa kupata shule hizi nauomba wana jf..ntashukurujeh

    Nimeuliza tu yawezekana yupo mtu anajua
  13. saly muh

    Msaada wa kupata shule hizi nauomba wana jf..ntashukurujeh

    Naomba kwa anaejua shule za sekondari za serikali zilizopo nje kidogo ya mkoa wa dar..iwe nje ya mkoa dar..aya wana chit chat naomba msaada apa.
Back
Top Bottom