Recent content by salvabu abraham

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Muundo wa Muungano unaifaa ni ule uliokubaliwa na wananchi katika rasimu ya Waryoba
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi za kununua wabunge na Madiwani: CCM inatafuta nini tena wakati wana majority Bungeni?

    Wewe unaishi mwezini au hapahapa duniani? Unajua kuna maelezo mengine ukiyatoa watu wanakushangaa. Ina maana tuhuma chidi ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Armeru ambaye naye baada ya kubanwa alikiri kuwa pesa anazo na akamwalika na mbunge Nasari akachukue, bado unakataa kuwa ccm haiwahongi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hosteli za Magufuli chuoni UDSM zimeanza kubomoka. Nini chanzo? Watoto wetu watapona?

    Zinaunga mkono juhudi za mjenzi katika kupambana na ujenzi hewa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

    akina Mbiwe wabadilike waacha e na siasa nyepesinyepesi. Kama wameishiwa mbinu Wanapaswa kurudi kwa wanachama wao ili wawashauri kuhusu nini kifajyike.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Friji, kabati na sofa

    Dah!! Sina hakika kama k ina uhusiano na elfu. Lakini kama yuko serious na anachokifsnya alipaswa kuwa bayana zaidi maana unaweza kudhani anamaanisha *kwacha* yaani pesa ya zambia au malawi.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Friji, kabati na sofa

    70k. 280k au 170k una maana gani? Yaani hiyo k ni nini?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Friji, kabati na sofa

    Mimi nataka kabati nipe bei salvabu2014@gmail.com
  8. S

    JamiiForums Tanzania Chumba Cha kupanga dar elf30/40 kwa dar

    Mpakani na mbezi juu ukitokea tangi bovu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Chumba Cha kupanga dar elf30/40 kwa dar

    Kama Goba psnakufas Njoo kwangu hakuna dalali mwenye nyumba ni mimi mwenyewe kiko ndani ya uzio kina tiles na sealing board.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

    Nyalandu ameonesha njia na bila shaka wale wanaosema kuwa walihamia ccm kutoka chadema ili kuunga mkono juhudi za JPM itabidi wajitafakari kuwa hizo juhudi waliziona vipi wakiwa madiwani lakini Nyalandu asizione akiwa mbunge? Ama kweli siasa ni akili za kuambiwa ambazo kila mara unapaswa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ahamisha wakuu wa mikoa wapya juu kwa juu

    Zilw Niah kutokana na makinikia zimefikia wapi?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

    Tuliambiwa "wamekubali watalipa" tukasubiri kulipwa tutaishia kwenye majadiliano. Sasa jsna tukaambiwa tutapata kishika uchunba ( sijui hapo mchumba nani) milioni dola 300. Lakini hakuna mahali popote kwenye mkataba imeandikwa. Sasa wale walioshangilia walikuwa wanajua wanachokishangilia kweli...
  13. S

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Aliyekuwa Diwani wa Kimandolu adaiwa kutolipa kodi ya mwaka mmoja na miezi mitatu; mwenye nyumba alilia Serikali

    Ukijua mbele wenzio wanajua nyuma. [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

    Wewe si unaandika kwa ajili ya kuelimisha jamii au unaandika ili usifiwe? We chapa kazi. Sasa ukiaga ndo watalike na kucomment?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  15. S

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: Lema alikuwa Rasta, kazi zake za usiku sijazisahau!

    Huyo ni mpagani mambo ya watumishi wa Mungu atayajua saa ngapi? Ana neno moja tu nalo ni mtumikie kafiri upate mradi wako. Akishapata nradi wake wala hutamsikia tena.
Back
Top Bottom