Recent content by Salus samy vladmir

  1. S

    Serikali ya Tanzania yatuhumiwa na Waziri wa Uganda kuhusu kulazimisha wakimbizi kuondoka nchini

    Naamini kuwa alicho kisema Waziri Mkuu wa Uganda hajakosea. Yuko sahihi kabisa. Licha yakuwa hatuwezi kukielewa kwa steji moja, Ila wakimbizi wa Burundi wananyanyaswa sana Kambini waishimo. Nakumbuka Kauli ya wazili wa Mambo ya ndani aliye tumbuliwa KINGI LUGOLA mwaka 2019, alipokuwa Kambini...
  2. S

    Natafuta kazi ya kufundisha kifaransa

    Usihesabu mbili tu brother, Najuwa Kichina, Portuguese na Spanish. Chinese language nimeisomea chuo kiku Cha Nchi mama mzazi, Nyingine mbili nimezichukulia tuition. Kwahio naongea 5 languages. Tena elewa kuwa ninaziandika vizuli pia nakuziongea
  3. S

    Natafuta mume "very serious"

    Inbox please 0746489611
  4. S

    Natafuta kazi ya kufundisha kifaransa

    Nipe namba tuongee in box may be
  5. S

    Natafuta kazi ya kufundisha kifaransa

    Wa Arusha uko wapi unipe muongozo??
  6. S

    Natafuta kazi ya kufundisha kifaransa

    Nous pouvons parler en français ma langue maternelle pas en Swahili parceque le Swahili est ma marâtre mère.
  7. S

    Natafuta kazi ya kufundisha kifaransa

    Nafahamu vizuli kuandika na kusoma Kifaransa na Kingereza. Isitoshe hata kiswahili najitahidi. Kama unafahamu sehemu yenye ajila yakufundisha kozi hiyo, please inform me.
  8. S

    Natafuta kazi ya kufundisha kifaransa

    Arusha wapi??? Nicheki kwenye namba yangu au Email kwa mengi zaidi
  9. S

    Natafuta kazi ya kufundisha kifaransa

    Brother guess well. Swahili isn't my mother tongue. Hata wenyeji wa lugha hi hawaijuwi wote kuiandiaka. Kosa likitokea usinishutumu, nikosowe
  10. S

    Natafuta kazi ya kufundisha kifaransa

    Marwa aidez- moi si vous disposez une information sincere pour être adhérer comme guide touristique.
  11. S

    Natafuta kazi ya kufundisha kifaransa

    Merci Mr marwa. Suivant une information donnée, je prends faveur de vous communiquer le long de la prise en conscience de Mon état de la francophonie. Suis un bon professeur de français à n'importe quelle classe de primaires et secondaires , que l'univerisité en soit.
  12. S

    Natafuta kazi ya kufundisha kifaransa

    Je vous pardonne monsieur
Back
Top Bottom