Salus samy vladmir
Member
- Mar 21, 2018
- 35
- 9
- Thread starter
- #41
Usihesabu mbili tu brother,Mkuu baadh ya lugha zinakuwa hivyo hata kireno ni hatari kila kitu kipo kijinsia kwenye advérbios,adjectivos,nouns,prepositions, pronouns n.k, part zote na unaweza ukaona unaongelea kitu chenye sifa ya uke ukatumia sifa ya uume ukaona upo saw a kumbe kushaingia chá kike kwa kutozingatia sifa hizo.
Najuwa Kichina, Portuguese na Spanish.
Chinese language nimeisomea chuo kiku Cha Nchi mama mzazi, Nyingine mbili nimezichukulia tuition.
Kwahio naongea 5 languages.
Tena elewa kuwa ninaziandika vizuli pia nakuziongea