Recent content by Salumu waliy

  1. S

    Maumivu ya mapenzi

    Jamani ma fellow members, Nina mpenzi wangu tulikuwa tunapendana sana yani na anajua kabisa kuwa yeye ndo my future wife Mungu akitujaalia uzima but kaja kubadilika ghafla. Ni kweli nlimkwaza kidogo but ni mambo za kuongea tu na kuwekana sawa lakn hataki hali yeye ashawahi kunikwaza...
  2. S

    Mapenzi

    dah! Ma fellow members nna tatzo nna wiki sasa chakula hakipiti sioni cha kufanya wala kushika nlikuwa na mpenzi wangu tunapendana sana yan bt siku ya siku nlimkwaza k2 kdogo sana sasa ndo ikawa sababu hatak kuniona hataki kusikia chchte toka kwangu hata zawdi zangu za sikukuu leo kanigomea...
  3. S

    Nini tafsiri ya "the end of the beginning"

    asee asante sana mana nmekuelewa vizuri sana
  4. S

    Nimemfuma akinywa KONYAGI akiwa anazuga kafunga!!

    kuwa na bunduki siyo sisi tuamin kwamb ww n mwanakjeshi hayo n mavazi tu na cyo iman ya mtu
  5. S

    Dogo anafanya tathimini

    dunia gunia
Back
Top Bottom