Kuna biashara nyingine zimejificha zinahitaji jicho la tatu.. hapa nakusudia huko kuthink out of the box.... kama bakhresa anafanikiwa kwa kuuza biscuti ya mia 2 au moo kwa kibiriti cha shilingi hamsini ,,,, mimi na wewe tunadhani ni lazima tuuze bidhaa za mamilioni come on .....hatutaweza kuwa...
Kiukweli biashara ya uuzaj matunda inalipa sana kama utakuwa upo makini na kujali kile unachokifanya Aliko Dangote aliwahi kusema "Start small grow Big" pia tembelea fursamiamia - YouTube kujifunza mambo mbali mbali ya ujasiriamali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.