Upo sahihi mkuu
Umeongea kwa mtazamo mpana sana.
Huenda kweli kuna mambo ambayo sisi hatuyaoni kwa sasa. Cha msingi ni kusubiri na kuona; kama una uwezo na utendaji wake unatambulika, wakati wake ukifika tutajua.
Kwa sasa, hoja yangu ilikuwa ni kujiuliza tu: kwa nini ameendelea kubaki kwenye...
Umeweka hoja nzuri sana mkuu. Na ndiyo maana swali langu bado linasimama: kama ana uwezo, uzoefu na amekuwa akiaminika kuendelea katika sekta ya Ujenzi chini ya mawaziri tofauti, ni nini hasa kinachokosekana kwake kuwa Waziri kamili?
Huenda kweli ni suala la political dynamics na interests kama...
Godfrey Msongwe Kasekenya ni mwanasiasa na mhandisi kutoka Tanzania. Ni Mbunge wa Jimbo la Ileje, Mkoa wa Songwe, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kasekenya ni msomi mwenye taaluma ya Chemical and Process Engineering, pamoja na elimu katika eneo la Finance and Accountancy.
Katika utumishi...
Aisee wew Ticha Mimi sikujua km wew ni choko ningekuwa nishakupa stahiki yako mapema Sana japo huwa sifanyi machoko..yanii wew kila sehem ukisikia salum lazima usimamishe matako yako..nilikutumia item sio? Uliposema item ni tofaut na model uliyotaka je ukupata pesa zako? Na mbona uliendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.