Recent content by Salum issa

  1. Salum issa

    JamiiForums Tanzania FURSA NZURI YA INCLUSIVE FX inakupatia faida kila siku kwa kuwekeza kiasi kidogo cha pesa bila kufanya kazi yoyote

    Write your reply...magufuli mwenyew kasema apa kazi tu ss fursa gani iyo bila kufany kazi upate ela na game ilivyo ngumu saiv
  2. Salum issa

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa reggae mkuje hapa

    Write your reply...Robert Nesta Marley ngoma zake zote Kali Kma stir it up akiwa na wakali the wailers redemption song, could be love, so much, no woman no cry, one love
  3. Salum issa

    JamiiForums Tanzania Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

    Niaje wana naitwa Salum issa niko Mtwara mjini nilikua Napenda kufahamu kuhusu biashara ya car wash gharama zake kwa mtu anaeanza na changamoto zake kubwa maan hakuna kitu kisicho na changamoto kwa hiyo mweny wazo lolote au uelewa juu ya hili anijuze
  4. Salum issa

    JamiiForums Tanzania Majina ya form six waliochaguliwa na JKT yametoka?

    ndo hayo mm nimemaliza 6 mwaka huu na jina langu lipo apo
  5. Salum issa

    JamiiForums Tanzania Majina ya form six waliochaguliwa na JKT yametoka?

    majina yameshatoka mm nimemaliza six mwaka huu na nimepangiwa huko msange tabora
Back
Top Bottom