Habarini wanajukwaa,
Natafuta kazi ya usimamizi wa shamba la mifugo nina elimu ya diploma ya Afya za wanyama, nina uzoefu pia wa usimamizi wa mifugo kwa zaidi ya miaka miwili.
Kwa sasa ninapatikana mkoani Iringa ila nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote.
Nawasilisha maombi wakuu
Asante sana kwa somo zuri mkuu na pia umeeleweka vizur sana kwa lugha nyepesi ambayo unajarib kuitumiaa..ila tungependa usiishie kati uendelee mpk pale somo litakapo ishiaa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.