Recent content by salsmile

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hupenda wanaume wapole kwa sababu hii

    Sipend wala sihitaji mwanaume mpole kabsaaaaaa,napenda changamoto sio kila ntakalolisemaa yy ndio hapana nachukia sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sheha wa Tomondo - Zanzibar amwagiwa tindikali!

    Najiskia vbaya sana mtoto wangu akitoka shule na kuanza kuimba "Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote , Nilalapo nakuota ww,niamkapo ni heri mama wee....." Shame on us nataman hata kuufuta huu wimbo una maana gani ikiwa kila siku lizuka jipya la kunyima watu aman eeeeh?mmmmh sijui...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu wanawake wa kibongo

    Kiukweli jaman pesa ndo kila kitu huwez kula bila ya pesa kuvaa,kulala hata kwenda chooni bila ya pesa hakuwezekani
Back
Top Bottom