usituukumu ndugu ni vile yupo gizani ajui tabu wanayopitia wanachuo wenye kutaman mabadiliko yani had tunasahau kama sie ni watanzania au wakimbizi nchini
Kujenga Taifa kwa Ushirikiano: Umuhimu wa Mfumo Shirikishi kati ya Wasomi na Viongozi wa Serikali
Utangulizi
Katika karne ya 21, maendeleo ya taifa hayategemei nguvu kazi pekee, bali yanahitaji mwelekeo wa kitaalamu, sera thabiti, na matumizi ya maarifa ya kisasa. Taifa x linakumbwa na...
Kwa mujibu wa imani ya Kiislamu ya jadi, hakuna Aya wala Surah tukufu zilizoondolewa kwenye Qur’an wakati wa usawazishaji wa Khalifa Uthman. Kilichofanywa na Uthman hakikuwa kuondoa sehemu za Qur’an, bali ilikuwa ni kuondoa tofauti katika namna ya kusoma na kuandika, ili kuhakikisha umoja wa...
kwanza kuna ulazima wa kuendelea kukopa daily kama hili taifa halina rasilimali zake au ndo vile wameshindwa kujiendesha bila mikopo kutoka nje ifike mahali tuwe wazalendo kwa kutumia rasilimali zetu wenyewe kujenga taifa vitu vinawezekana ila wanahitajika watu wenye huo moyo wa kusimamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.