Recent content by Salma Mustapher

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Pole sana ,ilaa ndoo ukubwa nahata hvy ndomana pakawa namawili mawili duniani,Mfano :mrefu kwa mfupi,mwanaume na mwanamke . So pg moyo konde tuuu,nakama Unahitaji kulipiza ckushauri kwa maana hy,ww pia utakuja kuwa na wtt mchanganyiko so nawakike akawepo uwezi jua ikaja ikawa vipi.so ww potezea...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Duuuuh! Kwl nyie mnaumia ilaaa wanawake mnao waumiza nyie hamjioni kama nyie co watu pia acheni hayo bwn wote hapo co watu [emoji136]
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    [emoji113] Daaaaaaah! Co wote bwn.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Ilooo nalo neno![emoji122]
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jmn karibuni sanaa zakipekee naninafuu mnoo madela hayo.

    Kwa bei nafuu kuanzia elfu 10/20 Izo za chini ni kuanzia elfu 25 .kwa sherehe hata kutokea za cku mchana ata kushindia ni mnunuzi tuu karibuni sanaa.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaopendelea nguo zakipekee bila mfanano karibuni hapa .

    Kwa bei nafuu tuuu . Hapo kuna za kumi na tano mpk ishirini zipo hapo jmn karibuni sana nipo dar,
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kufanya kabla ya kuanza biashara

    Haswaaaaaaaaaaaaaaaaa!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Napokea wageni wa ndani na nje (tourguard)

    Mtanisamehe nilikosea hapo nawala ckujua asanteni
  9. S

    JamiiForums Tanzania Napokea wageni wa ndani na nje (tourguard)

  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi stationary

    Labda unaweza ukanipa namba zako za WhatsApp nikutafute sasa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi stationary

    Sry cjaona
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi stationary

    Atakaye hitaji mtu wa kazi hy apo juu nipo ataniachia namba zake ,ninauzoefu wa miaka 2 napia nidesginer mdg mdg pia nipo dar.
Back
Top Bottom