Recent content by salma komba

  1. S

    JamiiForums Tanzania Edward Ngoyai Lowassa anataka kuharibu kanuni za maisha (principals of life)

    Nashukuru sana mtowa mada kwa kuwaamsha wananchi wachache wanaoadaika na mamvi. Kwanza nauliza, moja ninachoelewa mm au uhalisia wa nafasi aliyowahi kuishika na akaharibu. Waziri mkuu ndio mtendaji mkuu wa serekali. Yeye alifanya mini kuonyesha kweli anachukia umaskini aseme ameongeza kipata...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tutampigia Kura Magufuli na Kupata Ushindi Wa Kishindo Oktoba 25!!

    Kishinda tutashinda tens kwa kishondo. Usihofu mtowa mada. Ccm oyeeee.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe hatunukiwi PhD ya heshima?

    Ya nini? Kwa ajili Ya kukiuza chama kwa mlafi w madaraka????
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Mhe. Mbowe kupewa fedha: Hatua za kisheria kuchukuliwa

    Ahsante sana kwa Kulete uzi huu, nashukuru kuwa na watu angalau wachache wenye uelewa km wako.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo Movie na Bongo Flavour wamuaga Kikwete na kumkaribisha Magufuli

    Hivi nyinyi mnaobeza mnajitmbua kweli. Acheni kuongea utumbo. Kwani mamvi kazuwia kuwaalika. Msikalili mambo. Mnaacha kujipanga mchukuwe nchi km mnavyojidanganya mnakazi ya kuangalia wanaume wanafanya nini. Keep it Jk we are on u are back.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Chezea ccm wewe! Mtaisoma namba. Tuliwaambia huyo Low as a nice saw a na kunguru. Atawavueuga wote.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Rais muungwana anayelipa ubaya kwa wema...

    Kumbe na qw mtowa mada umeliona hilo!!! Nakumbuka ananeno lake mmoja linasema kuqa kiongoI kunaitaji kuwa ngozi nene. Kiukweli huyu kiongozi kapewa zawadi kubwa sana na Mungu, busara. Mungu atakulipa baba. Lakini sisi watu wako tunaumia.
  8. S

    JamiiForums Tanzania TIMU Magufuli tukutane hapa

    Tunakuamini, Dr unaweA kutupeleka sehemu inayofaa. Dr nakuomba sana ukiingia wape nafasi wazawa, ifikw mwenzako katuweka pazuri, kqa mwananchi ananafasi km mwananchi anzia hapo hatutaki muwaone maexpart mdio kila kitu hapa dunianai. Mtu anatoka India Ana devision 4, analipwa mshahar mara...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Za kushina mdau. Mungu akubariki kwa update, niambie mdau naomba matokeo ya Babati.
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Ulanga mashariki - Celina Kombani Morogoro mjini - Aziz Abood
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

    Ndio mjuwe anadharau na bado ataamulu chama kibadirishe uniform. Money talks. Km akili zinanunuliwa vipi makaratasi (sera) yasinunuliwe.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Sasa mbona hajavaa gwanda? Yaami usichokijuwa ni usiku wa giza. Mm hata ccm wangemchukuwa mm nisingempa kula yangu, hafai huyo, mjeuri sana. Kadharau hata mavazi yenu.. As per my understanding watu hatulali kutafuta pesa na status!! Yeye kwanini anatumia nguvu kubwa Sana kutafuta URAISI...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    Jamani mm kwa nia ya dhati kabisa naishauri ccm, wasijaribu kujibu mapigo ya Lowasa. Kukaa kimya ni jibu kwa mjinga. Maana mnataka kumpa kichwa na wajinga wenzake wanaomuunga mkono Lowasa ni kukaa kimya. Naamini CCM chama makini na kikubwa sana ulimwenguni. Nakuamini sana Rais wetu mtu mwenye...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    Jamani tuweke xhuki nyuma, maslai ya nchi kwanza. Tuombw Mungu kusiwe na machafuko
Back
Top Bottom