Jakaya Kikwete: Rais muungwana anayelipa ubaya kwa wema...

ww unataka kikwete afanyaje sasa....umesikia tupo kwenye utawala wa chama kimoja....in democracy no one is above the rule
hii ni nchi ya vyama vingi toka 1992 so vyama vya upinzani kufanya mikutano si fazila kikatiba na wanapewa ruzuku kuptia kodi zetu kama ccm inavyopata kuptia kodi zetu...nguvu ya chadema isikutshe ni uzembe wa ccm ndio unawaimarsha chadema unafkiri ccm ingehakksha madini na gesi znawanufaisha watanzania upinzan ungepata nguvu?watanzania wamechoka wanataka mabadiliko...leo hii nusu tu ya madini yanayoibiwa barick..Tanzanite one..GGM na kwa siku ingetosha kusomesha watanzania wote bure ad vyuo vkuu ila zmegeuka mali za wachache kila ktu kna mwsho na ndio huu umekarbia...msiotaka mabadiliko mjiandae kisaikolojia cz mikataba yote mibovu lazma ipelekwe bungen ikavunjwe inufaishe watanzania
 
Magufuli akichukua nchi Chadema watakimbia nchi, Kikwete kawarembea sana na bado hawana shukrani!
 
Kitila Mkumbo!

Kitila analipwa na kodi yetu watanzania na sio hela za JK. Halafu nimejaribu kufuatilia post zako nyingi wewe jamaa unaonekana ni mpuuzi fulani unayedhani watawala wanatoa huduma kwa jamii kama fadhila. Kwa mtindo wako wa maisha na hizi post zako unaonekana ni ponge la mshamba unayeamua mambo yako kwa kutumia nguvu na sio busara. Kwa maneno mengine unatumia nguvu nyingi na akili kidogo. Unalazimisha kusema wapinzani lakini unaonekana una kijiba cha roho mpaka unafikia mahali unaona wapinzani hawana haki katika nchi hii. Ukumbuke mkutano huu unafanyika kwa kufuata sheria za nchi, na unaposema wanafanya mkutano wanataka kumpindua inaonyesha wala hujui hata siasa yenyewe bali ni mpuuzi uliyepita kiasi. kwa hiyo ulitaka mpaka atoke madarakani ndio wapinzani wafanye mkutano?
 
mkuu madikteta ya huko ukawa, yamejikusanya yanataka kuja kutufungia ndani tusitembee, ukichagua UKAWA ni sawa na kuuza uhuru wako kwa mafisadi.
 
Raisi wetu Jakaya Kikwete kwa kweli ni muungwana sana, naamini kabisa nchi hii haijawahi kuwa na raisi muungwana kama JK na si ajabu itachukuwa muda mrefu sana kuja kupata raisi Muungwana kama JK!
Huyu jamaa (raisi wa JMT) ana absolute power ndani ya hii nchi lkn utafikiri madaraka yake yamevunjwa vunjwa na kwamba hana uwezo wa kuingilia mambo yanayotokea!

Anashutumiwa, serikali yake inashutumiwa tena wakati mwingine hata watu wanaoishutumu na kutukana Serikali yake ni waajiriwa wake kama Kitila Mtumbo ameajiriwa na analipwa na Serikali ya JMT analipiwa kuanzia nyumba, umeme, mpaka chooni maji ya kuflash na serikali ya JMT lkn haishi kejeli na matusi dhidi ya serikali, bado JK kimya wala hasemi kitu, Upinzani wanajitanua wanavyotaka, wanafanya wanavyotaka, wanatukana na kumkebehi Raisi wa JMT wanavyotaka lkn JK kimya ingawaje kuna sheria ya kuadhibu wote wanaomtukana raisi wa JMT iwe kwa uongo au Ukweli!

Hata mpaka wanafanya mikutano mikubwa kama huu wa Mlimani city wa kuanzisha kampeni ambayo lengo lake Kuu ni kuingusha Serikali yake lkn JK kimya na yote ruksa huu uhuru waliopewa wapinzani wao wenyewe ikitokea wakawa madarakani hawawezi kuutoa!

Kwenye nchi ambazo Raisi ana absolute power kama yetu haya mambo yote hayawezi kuruhusiwa, raisi hawezi kukaa kimya na kuwaachia Upinzani wafanye wanavyotaka hata kuanza kampeni za kumuangusha na yuko kimya, kwa kweli JK ni Muungwana sana na kwa hilo Upinzani nina Uhakika ingawaje hawataki kutambua watamkumbuka sana ngoja Mzee wa tingatinga aingie halafu muone kama mtafanya hiyo mikutano mikubwa na matusi juu!

Long Live Jakaya Kikwete!

Acha kujipendekeza kwa rais wewe muda wenyewe wa uteuzi umeisha so unapoteza muda wako bure tu.afterall serekali sio ya Kikwete bali ni watanzania mimi na wewe tunaolipa kodi na kumchagua huyo rais.kujikomba komba hakufai fanya kazi za kueleweka.kama vipi kilimo kinalipa achana na udalali wa siasa hauna tija
 
Kuchangia na siyo kulipia gharama kuna tofauti kubwa sana hapo!

Na ndio maana nikasema ya kwamba Ni Muungwana sana kwani ana uwezo wa kuzuia yote haya kulingana na madaraka aliyonayo kwanza hata kuna sheria za kumfanya awashugulikie watu kama akina Kitila Mkumbo, Lwaitama &Co. lkn hafanyi hivyo ingawaje wanamtusi yeye na Serikali yake, serikali ambayo ndiyo inawalipa, hakuna mahali hili linawezekana hata Marekani amabko wana demokrasia klk kwetu huwezi kuwa mwajiriwa wa serikali halafu ukaanza kuikashifu na kuitukana serikali ya Marekani inayokulipa na ukapona!

Sheria iko wazi Mwajiriwa wa JMT haruhusiwi kujihusisha na Siasa na ndio maana akina Lamwai Masumbuko, na yule prof. aliyahamia chadema nimemsahau jina lake waliondolewa Serikalini na sasa wanafundisha Vyuo binafsi na huko wanaruhusiwa kuongea na kujiunga na Chama chochote wanachotaka!

Hivyo kwa madaraka aliyo nayo Raisi Kikwete angekuwa nayo Mtu kama Mbowe, fisadi Lowasa watu wengi leo hii wangekuwa Jela si ajabu hata ITV wasingeweza kurusha Kampeni ambazo lengo lake ni kukitoa Chama Dola Madarakani, kwani Kikwete anashindwa nini kuwazuia ITV? Si ni simu tu ktk TCRA kwisho habari yake na sababu haziwezi kukosekana kuhalarisha hilo lkn hafanyi kwa maana ni Muungwana sana!

Nilijua unajielewa kumbe hovyo kabisa. Kodi unayolipa inafanya kazi gani unafikiri? Huyo JK analipwa mshahara na vurugu zote za safari kwa jasho letu. Hakuna serikali inayotoa hisani kwa watu wake duniani.
 
Kumbe na qw mtowa mada umeliona hilo!!! Nakumbuka ananeno lake mmoja linasema kuqa kiongoI kunaitaji kuwa ngozi nene.

Kiukweli huyu kiongozi kapewa zawadi kubwa sana na Mungu, busara. Mungu atakulipa baba. Lakini sisi watu wako tunaumia.
 
utafikiri akili zako na zangu tuna-share katika hili. nakubaliana nawe 100%.

Raisi wetu Jakaya Kikwete kwa kweli ni muungwana sana, naamini kabisa nchi hii haijawahi kuwa na raisi muungwana kama JK na si ajabu itachukuwa muda mrefu sana kuja kupata raisi Muungwana kama JK!
Huyu jamaa (raisi wa JMT) ana absolute power ndani ya hii nchi lkn utafikiri madaraka yake yamevunjwa vunjwa na kwamba hana uwezo wa kuingilia mambo yanayotokea!

Anashutumiwa, serikali yake inashutumiwa tena wakati mwingine hata watu wanaoishutumu na kutukana Serikali yake ni waajiriwa wake kama Kitila Mtumbo ameajiriwa na analipwa na Serikali ya JMT analipiwa kuanzia nyumba, umeme, mpaka chooni maji ya kuflash na serikali ya JMT lkn haishi kejeli na matusi dhidi ya serikali, bado JK kimya wala hasemi kitu, Upinzani wanajitanua wanavyotaka, wanafanya wanavyotaka, wanatukana na kumkebehi Raisi wa JMT wanavyotaka lkn JK kimya ingawaje kuna sheria ya kuadhibu wote wanaomtukana raisi wa JMT iwe kwa uongo au Ukweli!

Hata mpaka wanafanya mikutano mikubwa kama huu wa Mlimani city wa kuanzisha kampeni ambayo lengo lake Kuu ni kuingusha Serikali yake lkn JK kimya na yote ruksa huu uhuru waliopewa wapinzani wao wenyewe ikitokea wakawa madarakani hawawezi kuutoa!

Kwenye nchi ambazo Raisi ana absolute power kama yetu haya mambo yote hayawezi kuruhusiwa, raisi hawezi kukaa kimya na kuwaachia Upinzani wafanye wanavyotaka hata kuanza kampeni za kumuangusha na yuko kimya, kwa kweli JK ni Muungwana sana na kwa hilo Upinzani nina Uhakika ingawaje hawataki kutambua watamkumbuka sana ngoja Mzee wa tingatinga aingie halafu muone kama mtafanya hiyo mikutano mikubwa na matusi juu!

Long Live Jakaya Kikwete!

Raisi wetu Jakaya Kikwete kwa kweli ni muungwana sana, naamini kabisa nchi hii haijawahi kuwa na raisi muungwana kama JK na si ajabu itachukuwa muda mrefu sana kuja kupata raisi Muungwana kama JK!
Huyu jamaa (raisi wa JMT) ana absolute power ndani ya hii nchi lkn utafikiri madaraka yake yamevunjwa vunjwa na kwamba hana uwezo wa kuingilia mambo yanayotokea!

Anashutumiwa, serikali yake inashutumiwa tena wakati mwingine hata watu wanaoishutumu na kutukana Serikali yake ni waajiriwa wake kama Kitila Mtumbo ameajiriwa na analipwa na Serikali ya JMT analipiwa kuanzia nyumba, umeme, mpaka chooni maji ya kuflash na serikali ya JMT lkn haishi kejeli na matusi dhidi ya serikali, bado JK kimya wala hasemi kitu, Upinzani wanajitanua wanavyotaka, wanafanya wanavyotaka, wanatukana na kumkebehi Raisi wa JMT wanavyotaka lkn JK kimya ingawaje kuna sheria ya kuadhibu wote wanaomtukana raisi wa JMT iwe kwa uongo au Ukweli!

Hata mpaka wanafanya mikutano mikubwa kama huu wa Mlimani city wa kuanzisha kampeni ambayo lengo lake Kuu ni kuingusha Serikali yake lkn JK kimya na yote ruksa huu uhuru waliopewa wapinzani wao wenyewe ikitokea wakawa madarakani hawawezi kuutoa!

Kwenye nchi ambazo Raisi ana absolute power kama yetu haya mambo yote hayawezi kuruhusiwa, raisi hawezi kukaa kimya na kuwaachia Upinzani wafanye wanavyotaka hata kuanza kampeni za kumuangusha na yuko kimya, kwa kweli JK ni Muungwana sana na kwa hilo Upinzani nina Uhakika ingawaje hawataki kutambua watamkumbuka sana ngoja Mzee wa tingatinga aingie halafu muone kama mtafanya hiyo mikutano mikubwa na matusi juu!

Long Live Jakaya Kikwete!

JK alishasoma alama za nyakati kitambo. Yeye ndie Rais wa mwisho toka ccm. Ndio maana akamutonya rafiki yake EL ahamie cdm.
 
huenda jk anatAka upinzani wachukue nchi maana aliwahi kusema ccm itaanguka mwaka huu na wajiandae kisaikolojia....ukiconnect dots unahisi kama yanayoendelea yalikuwa well planned hv....mmmmhh sijui
 
Raisi wetu Jakaya Kikwete kwa kweli ni muungwana sana, naamini kabisa nchi hii haijawahi kuwa na raisi muungwana kama JK na si ajabu itachukuwa muda mrefu sana kuja kupata raisi Muungwana kama JK!
Huyu jamaa (raisi wa JMT) ana absolute power ndani ya hii nchi lkn utafikiri madaraka yake yamevunjwa vunjwa na kwamba hana uwezo wa kuingilia mambo yanayotokea!

Anashutumiwa, serikali yake inashutumiwa tena wakati mwingine hata watu wanaoishutumu na kutukana Serikali yake ni waajiriwa wake kama Kitila Mtumbo ameajiriwa na analipwa na Serikali ya JMT analipiwa kuanzia nyumba, umeme, mpaka chooni maji ya kuflash na serikali ya JMT lkn haishi kejeli na matusi dhidi ya serikali, bado JK kimya wala hasemi kitu, Upinzani wanajitanua wanavyotaka, wanafanya wanavyotaka, wanatukana na kumkebehi Raisi wa JMT wanavyotaka lkn JK kimya ingawaje kuna sheria ya kuadhibu wote wanaomtukana raisi wa JMT iwe kwa uongo au Ukweli!

Hata mpaka wanafanya mikutano mikubwa kama huu wa Mlimani city wa kuanzisha kampeni ambayo lengo lake Kuu ni kuingusha Serikali yake lkn JK kimya na yote ruksa huu uhuru waliopewa wapinzani wao wenyewe ikitokea wakawa madarakani hawawezi kuutoa!

Kwenye nchi ambazo Raisi ana absolute power kama yetu haya mambo yote hayawezi kuruhusiwa, raisi hawezi kukaa kimya na kuwaachia Upinzani wafanye wanavyotaka hata kuanza kampeni za kumuangusha na yuko kimya, kwa kweli JK ni Muungwana sana na kwa hilo Upinzani nina Uhakika ingawaje hawataki kutambua watamkumbuka sana ngoja Mzee wa tingatinga aingie halafu muone kama mtafanya hiyo mikutano mikubwa na matusi juu!

Long Live Jakaya Kikwete!

Hama nchi nenda ISS this is democratic country
 
Wakati wa Kikwete kila kitu kimekuwa kupita kiasi.

Kuanzia afya, uchumi, demokrasia, elimu, utalii.

Kikwete yupo juu sana.
 
Muungwana! Sijui muungwana hapa limetumikaje, labda ungesema mpole, nadhani amekuwa mpole mpaka inakera. Leo nimesikia eti uwanja wa ndege wa Mwanza hauwezi kutumika usiku kwa sababu hakuna umeme, mbaya zaidi muhusika akasema imebidi dunia watangaziwe hilo ili wasiwe na mpango wa kupeleka ndege zao usiku, wakati huo eti tunatangaza utalii, kweli rais wetu muungwana.

Madereva wa mabasi yanayokwenda mikoani wametangaza mgomo kuanzia tarehe 9 august, kwa tatizo lilelile la mikataba kati yao na wamiliki wa vyombo vya usafiri pamoja na SUMATRA, suala ambalo tayali kwa mwaka huu wa 2015 limeshasababisha usumbufu mkubwa saana, mara mbili mpaka ikamlazimu mkuu wa wilaya ya Kinondoni bwana Makonda kuingilia kati, lakini leo tena tunasikia suala lilelile tena linakuja kusababisha adha kwa watanzania. Kweli rais wetu muungwana.

Ndani ya chama cha mapinduzi, kumekuwa na taarifa za watu kutumia rushwa kuwahonga ama viongozi wa chama au wanachama ambao wanahusika na mchakato wa kura za maoni. Wapo waliowapiga wenzao, wapo walio zunguka na magari ya serikali kufanya kampeni wakiwatumia madereva wa serikali, huenda posho walizolipwa madereva na mafuta ya gari yaliyotumika kwa kipindi chote hicho ni mali ya serikali, lakini hakuna hatua stahiki zilizochukuliwa, kweli tuna rais muungwana.

Unaweza ukaandika mambo mengi saana hapa na bado usiyamalize yote lakini mwisho wa siku itagundulika kuwa kumbe rais wetu siyo muungwana bali ni DHAIFU.
 
Ingekuwa mimi ndiyo nina absolute Power kama ya Kikwete kwanza sasa hivi fisadi Lowasa yuko ndani, Kitila Mkumbo angapewa barua kutoka Utumishi pmj na ankara zote alipe na kuachishwa kazi, ningeminya Upinzani kwa vyovyote vile na wasingepata air time, na ninge freeze chanzo cha fedha zao kwa kifupi ningetumia dola kuwaminya na nisingewapa uhuru walio nao kwani gharama yake kwa Chama tawala ni kubwa sana, hakuna Kiongozi mwenye absolute power anaweza kuhusu anguko lake mwenyewe!
Sasa hapa ndipo unapouthibitisha weupe wako,maana Kikwete ana absolute power ila sheria zinamkaba.Anashindwa hata kuwawajibisha watumishi kwakua kuna sheria ya ajira ya 2004 na sheria nyingine nyingi sana,Kikwete ni Rais ila si Baba Riziwani tambua hilo,na pia inaonesha una chuki tu binafsi ila si kingine.Ngoja nikupe mfano watu watu ambao ni watumishi wa umma ila wamegombea urais na Ubunge hata udiwani ndani ya CCM ila hawajafukuzwa kazi,so wakigombea wa upinzani ndo wanafukuzwa,ila JK na serikali yake wamenyamaza kwakua wanajua kuwa hapo watu wote wanavunja sheria.Usiwe na hisia hasi kwa mtu.Marehem Mvungi alikuwa Lecturer UDSM while yupo NCCR.Na kuhusu kuiponda serikali mbona jambo la kawaida!Kama umesoma UDSM wahadhiri huisema waziwazi serikali wawapo kwenye korido au madarasani.Watu ndio wamejengwa hivyo kucriticise.Kuanzia enzi ya Mwinyi,Nyerere,JK na Mkapa.Ila amini unachoamini
 
kwanza barbarosa nikukumbushe tu kuwa CCM walifanya mkutano mkubwa kama huu kule dodoma na baada ya pale walitoka na huyo unayemwita mzee wa tingatinga kuzunguka kwa kujidai wanatambulishwa. sasa sisi kufanya mkutano wetu mkubwa kwako ni nongwa na unajaribu kumshawishi JK ati achukue hatua. wacha kubaki nyuma swahiba badilika wakati wa mabadiliko ni huu . inshaallah oktoba 25 utajua ukweli

Back
Top Bottom