Recent content by salimmauly

  1. S

    Naibu Waziri Elimu katika kashfa vyeti

    Kama ni kweli, imethibitka basi watu wa dizaini hii mh! ni wengi sana katika hi siri kali. jamani wapeni nafasi za uongozi watu waliosoma na waadilifu sio kupeana vyeo kwa kujuana. WAPENI WATAALAM NA WAAMINIFU ILI TUPIGE HATUA. watu wa namna hii hata nchi ibarikiwe mvua ya mafuta kila mkoa basi...
  2. S

    Yatupasa turudi kwenye Analojia

    Digitali yakera...tena inakera!!! Mimi binafsi sina hamu ya kuangalia tv siku hizi coz unaweza kuwa na hamu kuangalia program fulani lakini yanazuka matatizo yafuatayo: a) picha unaziona kama zilizovaa sura bandia au pengine kupata ajali. b) program kwa kila dakika moja inanasa mara tano c)...
  3. S

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    ila matokeo yanuma sana! hivi kwanini vijana wetu wanafeli sana, hivi ni kwanini lakini au shoo zinakuwa nyingi sana.... inauma! ukiangalia wengi wao ni watoto wa kajamba nani, aaaaaahhhh mhhh inauma sana
Back
Top Bottom