Recent content by Salim tevez

  1. S

    Serikali yafuta leseni zote za kuhodhi maeneo ya madini na wamiliki wake watakiwa kuomba upya

    Mbona GGM sijauona? Ndio mgodi mkubwa kuliko yato nchini sitaki kuamini hiyo habari
  2. S

    Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Huna nipya ni upuzi tu iliongea
  3. S

    Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Mungu wangu duh mama tanzania ndio hii ya wanyonge?
  4. S

    ATCL kuanza direct flights to Mumbai

    Bora ha wangeanza na Dubay au hat HK coz kuna wateja wengi kuliko Mumbai Duh majanga
  5. S

    Tundu Lissu aeleza Afya yake kwa sasa

    Ikiwa muonga kwenye kupigania haki nisawa ya kua mnafiki mbele ya mungu wako
  6. S

    Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu aliyelazwa nchini Ubelgiji anatarajiwa kurudi nyumbani

    Chadema kama chama kuanzia sasa Lussi anatakiwa alindwe coz mipongo miovu inaongezaka kila siku na yeye ni mtu jasiri asie ogopa kusema kweli
  7. S

    Tetesi: Mpango mchafu wa Mange Kimambi na Freeman Mbowe wavuja

    Tatizo sio Mboe wala Mange Kimambi tatizo ni serikali ya chama cha mapinduzi na mipango mibovu isio tekelezeka kama serikali imesema itapeleka mikataba ya madini Bungeni alafu haikupeleka tatizo ni Mboe na Mange kimambi? Kama serikali haina majibu kwa walipa kodi tilion 1.5 zipo wap? Kama...
  8. S

    Zitto Kabwe aombe radhi hadharani kwa kupotosha umma

    Wewe ni akili ndogo niwap zitto kasema pesa zimeibwa? au niwap CAG kasema pesa zimeibiwa? Tunataja serikali utuambie tilion 1.5 zimekwenda wap
  9. S

    Mh.Rais Magufuli unaanza "kutuangusha" tuliokuunga mkono na kukutetea mitandaoni, zingatia haya machache ili ututie moyo

    Kilasiku nakumbuka ule wimbo wao ccm ni ileile hawajakosea hata kidogo hivi tayari wanajua watanzania wemesha sahau kwamba serikali ya awamu ya 5 ilisema itapeka mikataba ya madini bungeni na kumbuka mh Lissu alisema sio mara ya kwanza nyinyi wa bunge wa ccm kuambiwa mikataba ya madini italetwa...
  10. S

    Musiba: Nina majina 1,800 ya wanaompa Mange Kimambi siri za Serikali; kuna vigogo wa Serikali, CCM na CHADEMA

    Sio siri za serikali ni habari coz siri ni kulinda rasilimali zetu kwa nguvu zote na mipaka ya nchi yetu na mbinu za jeshi letu la ulinzi sio kuficha maovu ya serikali nawaomba wanao vujisha wavujishe tu coz ili ifanyekazi na ikosolewe sio kuficha ujinga Musiba hajitambui wajipendekeza tu
  11. S

    Mwanasiasa huyu alizaliwa na kipaji cha uigiza kwenye siasa aliingia kutafuta maisha tu

    Mimi nilijua mapema kama move la kihindi so muda tu utasema
Back
Top Bottom