Recent content by salim kasiganya

  1. salim kasiganya

    JamiiForums Tanzania DC Ole Sabaya: Wilaya ya Hai haitakuwa uwanja wa majaribio ya kisiasa tena

    Yeye alikuq akijali masilahi
  2. salim kasiganya

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu ananigongea mlango usiku

    Kwanini akugongee wewe ungemuitikia ukamsikiliza shida yake huenda lalda alikuwa na jambo jema rafiki yangu nataka nikufundishe kitu kubali wito kataa maneno
  3. salim kasiganya

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Ndicho alikuwa akistahili na ni haki yake kutokana na makosa yake aliyoyafanya
  4. salim kasiganya

    JamiiForums Tanzania Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

    Wewe ndo unajaziba wala si mimi kwa sababu hadithi zipo na ayaati zipo ambazo zinadhibitisha yeyote atakaezusha jambi lolote katika dini ya allah makazi yake ni motoni mimi nanukuu vitabu su maneno yangu binafsi
  5. salim kasiganya

    JamiiForums Tanzania Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

    Ni sawa kabisa jambo lolote katika ulimwengu huu ni haramu mpaka itakapokuja ayaati au hadithi mimi sasa nasema maulidi ni haramu leta sasa ayati au hadihi ambayo imekuja kuharalisha Maulidi
  6. salim kasiganya

    JamiiForums Tanzania Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

    Unajua vitu hivi haviitaji hasira wala kupaniki kama una dalili yaani ushahidi wa ayaati au hadithi au maneno ya mwanachuoni au kama kuna mwanachuoni kandika kitabu tuoneshe hatutaki maneno yako
  7. salim kasiganya

    JamiiForums Tanzania Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

    We una dalili inayodhibitisha watu kusherekea maulidi au unaona watu wanafanya na wewe unafanya
  8. salim kasiganya

    JamiiForums Tanzania Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

    Haifai kusherekea maulidi ni bida yaani uzushi na atakaefanya hivo ni motoni
  9. salim kasiganya

    JamiiForums Tanzania Mtaani Serikali ya Rais Samia inapoteza uungwaji mkono kwa kasi ya kutisha

    We jamaa acha maneno ya ajabu una maana gani kusema ivo
  10. salim kasiganya

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Makonda kakimbilia Afrika ya kusini?

    Sasa hivi ole sabai anajutia alichokifanya
Back
Top Bottom