umeongea kwa uchungu sana
kweli inauma watoto wamekonda
wamedhoofu sa sijui huyo baba kusoma hajui
na picha nayo haoni?nitasema nae nazidi kupata ujasiri
wa kumvaa!
Habari zenu wana cc wote,kuna baba ni jirani yangu,huyu jamaa kaachana na mke wake miezi 6 iliyopita na hakukawia sana akaoa mke mwingine na mke wa kwanza alizaa nae 2 kids na bado ni wadogo 5 yrs na 3 yrs!
Ishu ni kwamba huyu mama mpya mtoto akikosea anapigwa mfano hakuna,nilikua naambiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.