Ndugu hoja hapa Si maamuzi ya ununuzi wakorosho Bali hoja hapa ni mawasiliano ya rais na PM kwenye maamuzi ya mambo nyeti. Je, kuna haja ya kuoonesha tofauti zao hadharani?
Ajabu! Tatizo in kuwa kuna MTU ambaye ni zero brain kaachiwa kuratibu haya mambo na mkuu wa inteligensia inabidi atumie nguvu ya ziada kufunika huo uozo!
ushoga ni tatizo kubwa lakini njia anayotumia mkuu wa mkoa kuudhibiti ushoga, sio sahihi na una mapungufu mengi. CDM kamachama makini hakiwezi tu kukurupuka na kujiung na mbinu zisizo za kisayansi anazotumia mkuu was mkoa.
Hata kama umetoka Somalia, kama unaisifu sirikali na kumtukuza" mkuu wa kaya" wewe ni RAIA na mzalendo. Shida inakuja pale ukianza kuhoji mambo ya msingi!
Kuchelewesha maana yake hapa in kutoa nafasi kwa serikali kubadili msimamo wake kuhusu wanafunzi wajawazito kukatishwa elimu. Je, sirikali hii IPO tayari kubadili msimamo wake? Zitto yupo sawa kabisa!
Mchina atakupa mkopo kwa maslahi yake kama kuuza vifaa vya ujenzi wa miudombinu na kuwapatia RAIA wake ajira. Kamwe mchina hawazi kukupa msaadaaa au mkopo was moja kwa moja was elimu.
Vipi kuhusu kununuliwa kwa viongozi wa upinzani na kuharibu fedha za walipa kodi maskini kwa sababu za hovyo kabis kuruudi uchaguzi? Vipi kuhusu kutekana hovyo hovyo. Vipi kuhusu viongozi wa upinzani kuuawa na wengineee kumiminiwa masasi katikati ya mji mkuu mchana kweupe? Mamb mabaya ni mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.