Recent content by Saleh

  1. S

    Muitalia ana nyumba Zanzibar akifa ndugu zake wanaweza kurithi?

    Ni kweli, lakini wageni wanatakiwa kuomba "lease" upya baada ya miaka 33 au 66 au 99.
  2. S

    Muitalia ana nyumba Zanzibar akifa ndugu zake wanaweza kurithi?

    Huyu mwanamke si mliki, amepata "Lease" tu.
  3. S

    Muitalia ana nyumba Zanzibar akifa ndugu zake wanaweza kurithi?

    Kweli! Mgeni anaruhusiwa kukodisha tu. Huyu mwanamke ana "Lease".
  4. S

    Muitalia ana nyumba Zanzibar akifa ndugu zake wanaweza kurithi?

    Nakushukuru sana. Hata kama ni wageni? Tena kama wana haki ya urithi lakini hawataki, wanaruhusiwa kukataa?
  5. S

    Muitalia ana nyumba Zanzibar akifa ndugu zake wanaweza kurithi?

    Ha! Ha! "anae miliki" si Kiswahili fasaha! Kiswahili fasaha ni "anaye nyumba" au "anayemiliki nyumba". Soma zaidi.
  6. S

    Muitalia ana nyumba Zanzibar akifa ndugu zake wanaweza kurithi?

    Hamjambo? Mwanamke fulani kutoka Italy ana nyumba Zanzibar tangu zamani. Huyu mwanamke anazeeka kwa hiyo anataka kuja nyumba yake inaweza kurithiwa na jamaa zake wanaoishi Italy? Pia warithi hawa wanaweza kukataa urithi? Asanteni
  7. S

    Mashindano ya Kimataifa ya Bao

    Exaud, unisamehe! Kwa bahati mbaya ninaishi ng'ambo, kwa hiyo sina habari za Mzee Rashid Mfaume Kawawa. Tunatarajia watashiriki wachezaji wanne kutoka Uholanzi, watano kutoka Kazakistani, wawili kutoka Ujerumani na wengi kutoka Italia. Lakini wote bado ni wanafunzi. Wengine wamejifunza kwa...
  8. S

    Mashindano ya Kimataifa ya Bao

    KIBA kina mpango wa kufanya mashindano ya kimataifa ya Bao tarehe 21-22/11/2009, mjini Torino, Italia. Wachezaji wa Bao wanatakiwa sana kushiriki.
  9. S

    Lugha moja itawale ulimwengu?

    Je, ulifuata shauri lako? Ulifanya utafiti kuhusu "the fall of" Kiesperanto? Kwa nini unaazima kwamba lugha ya Kiesperanto ilishindwa "vibaya sana"? Mimi mwenyewe naongea Kiesperanto pamoja na watu wengi ulimwenguni. Tafadhali soma zaidi (www.afriko.org)! Lugha ya Kiingereza ni lugha ya ukoloni...
  10. S

    Chama cha Michezo ya Jadi kwenye mtandao

    CHAMA cha Michezo ya Jadi Mkoa wa Dar es saalam (CHAMIJADA) kwa kushirikiana na Chama cha Mashabiki wa Bao cha Kimataifa (KIBA), kimetengeneza tovuti ili kuboresha mchezo huo duniani. Tovuti ya CHAMIJADA ni: http://www.chamijada.org, tovuti ya KIBA ni: http://www.swahili.it/bao. Soma zaidi...
Back
Top Bottom