Recent content by Salam dm

  1. S

    Kosa walilolifanya CHADEMA ni udalali kwa Taifa, sasa ni NCCR Mageuzi

    Chadema waliihujumu sana NCCR- Mageuzi labda Kama hujui tu, katika majimbo yote waliyopewa NCCR Chadema walifanya fitina na fujo ikiwa ni pamoja kuwawekea wagombea kinyume kabisa na maafikiano ya Ukawa Hali hii ilipelekea hujuma kubwa na kilichofuata NCCR ilipoteza majimbo, Sasa malipo ni hapa...
  2. S

    Tuhuma dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA zisipuuzwe, TAKUKURU chukueni hatua

    Hapa lazima haki itendeke hizi fedha zijulikane amezipeleka wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    GE2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

    Tatizo Yeriko hana chama Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Kosa walilolifanya CHADEMA ni udalali kwa Taifa, sasa ni NCCR Mageuzi

    Hawa Chadema ni sikio la kufa kabisa Slaa alitoa hotuba nzito kuwaonya kwa machu gu wakamtukana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Kosa walilolifanya CHADEMA ni udalali kwa Taifa, sasa ni NCCR Mageuzi

    Kwaheri chama Cha walilia lockdown Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    Kosa walilolifanya CHADEMA ni udalali kwa Taifa, sasa ni NCCR Mageuzi

    Hahahahaha yap kwaheri Chadema kwaheri Usaliti Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    Kosa walilolifanya CHADEMA ni udalali kwa Taifa, sasa ni NCCR Mageuzi

    Muulize Makamu Mwenyekiti aliyechaguliwa kwa njia ya mtandao mpaka Sasa aongoza wote waliokuwepo katika eneo la uchaguzi akiwa huko huko Au muulize Mwamba Mwenye wasaidizi wawili wavamia magereza Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    GE2020 NCCR Mageuzi imejiandaa na ipo tayari kuchukua nafasi ya Chadema?

    Dola ufipa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    Kamati Kuu ya CHADEMA kufanyia vikao kwenye hoteli za kitalii limulikwe

    Inauma sana chama kilichojengwa kwa jasho la watu maskini leo kinakuwa Chaka la Sultan Mbowe Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    Mchungaji Lusekelo: Kwa mujibu wa Biblia mkuu wa nchi akishaongea mjadala unafungwa, hao wanaohoji baadae ni wavuta bangi

    Mchungaji yuko sahihi, hata ukipinga unapoteza muda. Kwanza tuambieni 8 Bilioni za wabunge ziko wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    Kosa walilolifanya CHADEMA ni udalali kwa Taifa, sasa ni NCCR Mageuzi

    Sera ya Chadema ya Kupinga kila kitu na kuishitaki Serikali kwa Mataifa makubwa hatimaye imesababisha Wananchi kukichoka chama hiki na kuanza kukiadhibu kwa hasira Chadema kinaadhibu kwa sababu kimekoda uzalendo, kimekuwa chama kibaraka na kimejigeuza kutoka chama Cha Upinzani na kuwa chama Cha...
  12. S

    Nitajie Rais maarufu sana duniani kwa sasa kutoka Afrika, Rais Magufuli ni kiboko

    Chadema ni watu wa ajabu sana, hawa wahuni wasubiri Oktoba watakiona Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    James Mbatia mwanasiasa wa ovyo kutoka Tanzania, miaka zaidi ya kumi kwenye game unawaza kuwa chama kikuu cha upinzani?

    Kazi ya Kwanza anayofanya Mhe. Mbatia ni kuwang'oa Chadema katika nafasi ya kambi rasmi halafu hatua ya pili ni kuchukua nchi, hiyo ndo mipango Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    NCCR-Mageuzi, Nicolas Clinton akalia moto kasi ya wanaohama!

    Chadema yenyewe ilijengwa na wanachama kutoka NCCR Mageuzi bora tu irudi
Back
Top Bottom