Mwenyekiti James Mbatia msaidie Mwanachama wako mwenye kadi namba moja Mabere Marando arudi nyumbani huko ugenini anapata tabu

Wito wa Mhe. Rais kuhusu maombi ni too philosophical huwezi kumweleweka unapopinga tu kwa maana ya Pinga pinga

Twende mbele turudi nyuma wew ulitaka tuwe na case ngapi za COVID 19 ndo uridhike ?
 
Mabere Nyaucho Marando ndiye Mwanachama mwenye kadi namba moja ya NCCR Mageuzi,alizaliwa takribani miaka Sabini iliyopita huko Mkoani Mara

Nguli huyu wa sheria ni miongoni mwa waasisi wa siasa za mageuzi hapa nchini akiwa na wenzako akina Bagenda, Ole Sirikwa,Komu, n.k

Huyu Mbabe wa siasa za upinzani alihamia chadema akawa kiongozi kule baada ya kuvurugana kwenye NCCR Mageuzi,Mwanasiasa huyu hajaonekana hadharani kwa muda mrefu, yuko wapi ?

Mhe. Mbatia kuna dalili kuwa nyumbani kumenoga msaidie nguli huyu arejee apewe heshima yake kama akina Emmanuel Ole Sirikwa na wengine

NCCR Mageuzi kumenoga
MTU mwenye akili hawezi kujiunga na kikundi cha wahuni
 
Nccr ni CCM B hata Lyatonga kasema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnadanganya idadi ya vifo na wagonjwa, huku mnafanya maombi!
• Mnaacha Baa zote nchini wazi, watu wanalewa na kuzini usiku kucha, huku mnaendelea kufanya maombi!
Watanzania wenzangu, tuambizane ukweli, hakuna Mungu atakayepokea maombi yetu, labda Mungu wa Chato

Nyie mlishindwa kuacha uzinzi kisa ukimwi, sisi ndiyo tuache bia kisa korona?😅😅

It's a joke... niliikuta mahali, nikacheka tu.

sorry🙌
 
Back
Top Bottom