Recent content by Salahuddin The Great

  1. S

    JamiiForums Tanzania Sema ulichokiona kwenye picha hii.

    i see a cartoon character from pokemon its name is Pikachu!
  2. S

    JamiiForums Tanzania I Love Everyonen(Eid Mubarak)

    Hiyo itakuwa ni akili yako mimi ni muislam wa kawaida tu na nimependa nikuambie kwamba post yako haina usawa wa aina yoyote na picha ulioweka,kama huna utashi wa kutofautisha mambo sema tukusaidie na sio kurukia suala la mwanaharakati!acha ufedhuli ***** wewe
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nakutakia sikukuu njema ya idd

    thank u new noel.God bless u
  4. S

    JamiiForums Tanzania I Love Everyonen(Eid Mubarak)

    Get serious na ondoa upuuzi huu what has this pics got to do with Eid.....If u want to wishus muslims Eid then do it with dignity or at least have some manners when u do it!i don't mean to offend any1 but dats the truth
  5. S

    JamiiForums Tanzania Video:Kama Hujawahi Shuhudia bi Harusi Akifundwa, Basi hii ni Zamu Yako

    i just feel sorry for the poor lady's pic what if her husband sees it??
  6. S

    JamiiForums Tanzania I chose this evining.........

    u r doomed ma friend hahaha!!!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Life hacks

    Magnificent!!!!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    njiwa sawa kabisa kaka,Madrasa kwa Muislam ni nyenzo na kinga kamili kama alivyoseme mmoja wa wana JF kwamba wenzake wote walifikia kwenye ulevi,uhuni yeye alifocus na elimu yake kwasababu Madrasa ilikuwa ndio msingi mkuu kwake
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Awali nasema umejitahidi kutoa maoni ambao ni mazuri kwa upande mmoja ila kwa upande wa pili nitakurekebisha,suala zima la mashule na vyuo vikuu sio hoja ya msingi kabisa nasema hivi kwasababu ni sawa sawa na kwamba ukikaa sana gereji utakuwa fundi hapana,mimi naamini kabisa kwa asilimia kubwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee wanao swali ijumaa!

    Mbuzi Mzee umeombwa uongezee swala sio upost pic which has no affiliation what so ever! kwani kujibu kama dada Madame X ulishindwa
Back
Top Bottom