Recent content by sal3m

  1. S

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Actually Jamaa ameeleza kidogo kuhusu Hawa freemasonic ila naona hajaelezea kuhusu historia ya hawa watu tangu walipoanza hadi wakafika hapa na ni nini target yao na wanafanya hivi kwa sababu gani. Kwa haraka haraka kulikuwa na kundi la Knight Templers ambalo limeundwa na mayahudi hawa...
  2. S

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    ni rahisi sana kusema ila ni vigumu, hao watu wamo ndani ya dini zetu tena ni viongozi wa dini, Ask your self ndani ya uislamu hamna mafundisho wala historia inayoonyesha kuwa watu wanaenda kujitoa muhanga na kuwauwa watu wasio na hatia.Mtuma (S.A.W) wakati wake hakujawahi kusikia mtu anatoka na...
  3. S

    Quality Centre: Largest Air Conditioned Shopping Mall in East & Central Africa

    I'll tell you something, i have the shop there and i'll make money there. i have a shop at shoppers but most of my clients are from that side, mikocheni, masaki, msasani, kawe na wote walioko sehemu ile. but when i opened here client ni wengi na ni wa sehemu tofauti. kilicho nivutia ni sehemu...
  4. S

    Quality Centre: Largest Air Conditioned Shopping Mall in East & Central Africa

    ninaifahamu hii mall kwasababu mimi ni mfanyabiashara ambae ninamiliki duka ndani ya hio mall ninalolilipa zaidi ya milioni 5 kwa mwezi
  5. S

    Quality Centre: Largest Air Conditioned Shopping Mall in East & Central Africa

    Hujakosea ila hivi ndivo tunavyofanyiwa Duniani na Hasa Africa Wazungu wanakuja kuwezeka Tanzania kwa kutumia hela zetu tunazo ziweka benki ya dunia na kodi hawalipi, hela zetu tunazoziweka benki ya dunia ndio zinazotumika na wazungu vitani kwa manufa yao. kwa hiyo bosi wangu wewe kubali...
  6. S

    Quality Centre: Largest Air Conditioned Shopping Mall in East & Central Africa

    Mimi sitoshanga ikiwa Nyerere alimchagua waziri wa fedha mhindi, Mkapa na Kikwete walimpa Zakia Meghji uwaziri kwahiyo mwaka fulani raisi anaweza kuwa mtanzania mwenye asili ya kihindi
  7. S

    Quality Centre: Largest Air Conditioned Shopping Mall in East & Central Africa

    1-Jenga nyumba yako ukimaliza niambie utaiuza kwa bei gani, nadhani na wala sitegemei utaiuza kwa thamani uliojengea. 2- amechukua mkopo wa bilioni kumi je una uhakika amejenga kwa thamani hio? mkopo hupewi kama hujaingiza kiasi fulani kutoka mfukoni mwako katika project ya aina yoyote. Kama...
  8. S

    Quality Centre: Largest Air Conditioned Shopping Mall in East & Central Africa

    Tofauti ya mlimani city na quality centre -Parking Mlimani parking ni kubwa tofauti na quality centre ila na ya quality sio ndogo na wanaongeza parking sahivi -Mall Mlimani ni ndogo sana ukifananisha na Quality centre, Quality centre ina ground floor na mezzanine na ni kubwa kiupana na urefu...
Back
Top Bottom