NILILIPA SHS.462,000 KWA AJILI YA KUUNGANISHIWA MAJI KIMARA BARUTI BAADA YA SURVEYOR KUFANYA SURVEY. IMEFUNGWA METER KWENYE LILE ENEO LAKINI TANGU ILIPOFUNGWA HALIJATOKA HATA TONE MOJA LA MAJI. MAJIRANI WOTE WANAPATA MAJI LAKINI KWANGU HAKUNA. NIMEAMBIWA ILE METER ILIFUNGWA KWENYE BOMBA LA MAJI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.