Naomba kuleta mada hii ubaoni wadu japo tupate kujadili kwa mapana.
Nakumbuka kipindi nasoma sekondari miaka ya 90's ,mnapofika darasa la saba karibu na kumaliza kunafomu tulikuwa tunazijaza kama sikosei zilikuwa zinaitwa TSM9. Pale tulikuwa tunajaza shule ambazo mtu ungependa uchaguliwe kwenda...
Mda mwingine tunahitajika pia kuwapima akili hawa viongozi tunaotaka kuwachagua hata kabla ya uchaguzi, kwani wengine unaweza kuta ana historia ya ukichaa muda mrefu lakini kikaja kupoa.Ila pia mleta mada hajatuambia kwanini diwani huyo aliamua kufanya maamuzi hayo.
kama kichwa cha habari kijielezeavyo. naomba mnikaribishe kwa mikono miwili ndugu zangu katika hili jukwaa. Nimekuwa mfuatiliaji wa siku nyingi lakini sikuwai kujiunga hadi leo hii nikaamua kukata shauri. Ni matumaini yangu mtanijenga pia hata kimtazamo katika harakati za ujenzi wa Tanzania ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.