Recent content by sakasaka

  1. sakasaka

    HOW TO SOLVE DEEP SEEK REGISTRATION CODE ERROR

    weka email tu mbona inaleta code vizuri tu
  2. sakasaka

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Jioni mtu user ni wengi around hilo eneo, kila mtu anatumia simu mida ya jioni, asubuhi wengine wamelala wengine wameenda kwenye mishemishee
  3. sakasaka

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Jamaa wameshusha tena bei ya router zao… wangefanya hili toka mwanzo walikua wanateka soko lote
  4. sakasaka

    Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

    Tafuta pesa uende kwa ma specialist njee ya nchi wapo wanaoweza kuzifuta… usikate tama hakuna kinachoshindikana, wewe tafuta pesa tu ili uweze mudu gharama za kuzifuta.
  5. sakasaka

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Umenunua wapi hii kaka nimekua naitafuta kwa muda sana
  6. sakasaka

    Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni malalamiko ni mengi kuhusiana na network yao, naombeni ushauri

    Achana nayo, internet ipo down sanaa.. Mimi najuta kwa kweli, kama vipi njoo nikuuzie yangu kwa nusu bei.
  7. sakasaka

    Msaada wa unlock Airtel router (5G smart box)

    Mimi naomba kujua kama naweza pata line ya tigo kwa ajiri ya unlimited internet ile inayoweza unga kifurushi cha 70k. Zawadi nono itatolewa😁
  8. sakasaka

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mimi nahitaji line yangu iwe activated kukubali kuunga kifurushi cha tigo cha 70,000 kile cha unlimited…
  9. sakasaka

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kaka hizi router zao nazo zina power bank? Maana naona hapo haijawa connected kwenye umeme ila inawaka… Hawa Airtel ni wakuwakimbiaa tu
  10. sakasaka

    Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, Kampuni ya Apple inauzia jina

    Ni sawa kusema vijana msitemee ajira wakati anaesema hivyo ameajiriwa.... Ngoja na sisi tununue kwanza alafu baadae ndio tutarudi kwenye itel, infinix na tecno
  11. sakasaka

    Kama ilivyo Alibaba China ni app gani naweza kuitumia kununua vitu Dubai

    Yes unaweza weka address ya transporter wanaleta mizigo bongo then mzigo wako ukafika
Back
Top Bottom