Recent content by sakaraniDh

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania na kizazi cha wasomi wezi na wavivu!

    Tz hii ndo mana watu hawataki kuwa walimu kwa kuwa wanajua watakula jasho halali. Kila mtu anataka sehemu ambayo kuna magumashi na michakato ya fasta fasta
  2. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wapata Mawaziri wengi kuliko Bara Wizara nyeti za Muungano, Kwanini?

    Uchawi huo. Ukimaliza uzanzibar utakuja ukusini na ukaskazini.ukimaliza unakuja mkoa wako kabila lako na pengine hadi dini.hatarii sana.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Halafu baada ya kuondoka yeye akitokea ---- akatumia nae vipindi vinne kuiharibu nchi itakuwa poa sana pia. Acheni ulevi bado pia kuna vichwa vitaibuka. Cha msingi atuachie misingi imara ya kuwafanya wahuni wasipate mianya ya kujifanyia wanavyotaka
  4. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa alitema big G kwa karanga za kuonjeshwa

    Tulieni slaaa ana akili kuliko nyie msiyojitambua ndo maana hawaishi midomoni. Sumsye lowasa mbona hamuwalaumu kuhamia chadema. Kila mtu ana uhuru na maamuzi yake.
  5. S

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo Dar kufanya maandamano ya amani kumuunga mkono Rais Magufuli

    Kweli ACT NI SHAHA...WA ZA CC EM. na hili ndo tatizo la upinzani uchwara unaokosa sera na falsafa za muda mrefu na mfupi na kujikita kukosoa kosoa.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Ulifikiri magufuli kaja kufuraisha watu. Ukitaka kufurah nenda kachek maigizo tamthilia. Tulia watu wachape kazi
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mch. Gwajima asifu utendaji wa Magufuli, Dr Slaa ampongeza Gwajima

    Gwajima ni mzushi tu. Anachanganya watu tu. Kama vipi aachane na siasa aendelee na dini. Alituambia lowasa ndiyo joshua wa kulivusha taifa sasa iweje tena atupe bra bra hapa.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya kuendelea kugharimia safari za Jakaya Kikwete imetoka wapi?

    Teh teh teh kwi kwi kwi kwi kwi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Makontena kukamatwa inamsaidia nini mwananchi?

    Kweli kichwa yako ni bustani ya nywele Na kama uko vizuri kichwani ila unajifanya huelewi bas wewe ni miongoni ambao mnaanza kuisoma namba mnatafuta watetezi humu. Tulia unyoooke
  10. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli afyeka 50 waliokuwa kwenye orodha ya kushiriki ziara ya Madola

    Milioni 700 zinaweza jenga madarasa kibao au dawa kibao hospital.Mungu amlinde na maadui
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli akifungua rasmi bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Novemba 20, 2015

    ujinga tuuu.hata usipo mwamimi wala sio lazima aaminiwe na wewe
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli basi sisi ni wajinga, iko siku litatugharimu

    Ni tabora sio iringa mkuu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli basi sisi ni wajinga, iko siku litatugharimu

    Unatakiwa ufikiri sana kabla ya kuleta mada za chuki tushirikiane kujadili.Kaskazini unakomanisha ni wapi? kwa nini mnauwaza sana urais.Na ndiyo maana mkahamia wote chadema baada ya kukatwa ccm.Stupidy.msitupandikize chuki hapa mkimaliza ukask mtakuja umarangu na ukibosho
  14. S

    JamiiForums Tanzania UKAWA wabadili gia angani, Rais Magufuli kutohutubia bunge

    Sipati picha ya hizo kelele sijui zitakuwa ni nyimbo au mipayuko? Nasubiri sana siku hyo.Mi nilijua baada ya uchaguzi ilikuwa ni mwisho wa tamthilia ya lowasa na wenzake.Nadhan tunaenda weka historia mpya kabisa
  15. S

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Dr. Emmanuel Nchimbi ninayemfahamu

    Team lowasa rostam kazini tena.Mmekosa urais mnataka kumiliki bunge.mtaisoma mwaka huu
Back
Top Bottom