Recent content by sajomtz

  1. sajomtz

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza

    Braaaaah! hii hudama itakuwa mpya kwa hapa nchini, ni kifurushi cha Vodacom, airtel, Tigo au? Nyoosha kidogo kiswahili usaidiwe!
  2. sajomtz

    JamiiForums Tanzania Vietell Tanzania LTD (kampuni mpya ya simu) inatangaza ajira 2000 tanzania katika ngazi mbali mbali

    Mbona usahili unaendelea, mfano hapa Dar es salaam watu washafanya usahili kwa mara ya pili, waliita kama "Oral interview though wasn't Oral" Kwa hiyo nadhan hawa watu bado wanajaribu kuchambua wafanyakazi mahususi.
  3. sajomtz

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho wazungu wanaona CHADEMA ambacho waswahili tumeshindwa kuona!

    Duuu ukweli huu haupingiki!
Back
Top Bottom