>>"Unapojenga afya ya kitu chochote ni lazima ujue misingi ya nchi ni lazima tuheshimu na kuwapenda viongozi wetu tuliochagua na kuwapigia kura. Hata katika maandiko kiongozi anatakiwa aonywe kwa hadhari, heshima na hekima na si kwa makelele.
"Utawala ni mamlaka inayowekwa Mungu lakini...
Pamoja na utetezi wa zitto bado kuna haja ya kumchunguza kwa makini juu ya kauli zake.Bado si mtu wa kuaminika.
Tatizo kubwa la Zitto kushutumiwa na baadhi ya Watanazania linatokana na kauli zake tata, pamoja na misimamo yake ambayo inasigana na ya chama chake. Na asipokuwa makini zitto atabaki...
Sioni harakati zozote za zinazofanywa na UDP kuimarisha chama. Mh.Cheyo kakifaanya chama chake kuwa NGO,chama cha mjungu (Pandikizi la CCM) dhidi ya uhujumu wa upinzani nchini. Cheyo ni mwenyekiti mfu, mbinafsi,mnafiki, mchoyo na hafai kushirikishwa kwenye harakati za vyama makini vya upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.