dah! hawa jamaa vituko sana! kwa staili hii naona kabisa rasimu ya katiba ikijadiliwa na watu walioamka na pombe kichwani(hang over) na mwisho kutuletea katiba ya kilevi
hawa jamaa wapuuzi sana wanakutuma mkoani ukafanye kazi kwa siku kumi matokeo yake wanakupa budget ya siku tano au saba zinazobaki wanakula wao wakati wewe unateseka huko vijijini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.