Recent content by SaintErick

  1. SaintErick

    Hii ndiyo hatari ya vita ya Ukraine na Urusi

    Ataona. Kwamba wewe mtazamo wako ni upi
  2. SaintErick

    Hii ndiyo hatari ya vita ya Ukraine na Urusi

    Putin mwenyewe anawasubiri wajichanganye zaidi maana wana kiherehere kingi!
  3. SaintErick

    Hii ndiyo hatari ya vita ya Ukraine na Urusi

    Trump anataka ushindi katika vita ambayo 'hapigani' na Putin anataka ushindi dhidi ya 'dunia nzima'. Na kila mtu yuko tayari kufanya lolote kuhakikisha anashinda. Hili linaleta hatari ya vita nyingine kubwa zaidi duniani endapo mmoja atakosea hesabu za namna ya kuupata ushindi anaoutaka. Na kwa...
  4. SaintErick

    VITA YA AKILI UNDE (AI) NI KUBWA KATI YA MATAJIRI

    VITA YA AKILI UNDE (AI) NI KUBWA KATI YA MATAJIRI Kwa sasa bidhaa adhimu katika sekta ya teknolojia ni Akili Unde (AI) ambayo ukiitazama kwa umakini utaona kua dunia ijayo ni dunia itakayoendeshwa kwa Akili Unde karibu kila nyanja ya maisha ya binadamu. Hii ni fursa na ni changamoto mpya...
  5. SaintErick

    Yamenikuta😌

    😂
  6. SaintErick

    Marekani yaandaa na kutuma vikosi barani Asia kwa ajili ya vita na China

    Naam, katika miaka ya karibuni Marekani amekua hapendi vita na mataifa hasa ya Asia kwaajili ya kile ambacho alipitia Vietman labda.
  7. SaintErick

    Marekani yaandaa na kutuma vikosi barani Asia kwa ajili ya vita na China

    😂😂 hata hivyo vita za sasa ni ngumu ila wakipigana na sisi tutapigana kwa njia isiyo ya moja kwa moja. Tujihadhari.
  8. SaintErick

    Marekani yaandaa na kutuma vikosi barani Asia kwa ajili ya vita na China

    Anhaa katika aspect sawa. Nmekuelewa vyema. Hoja ya Seal Makaratasi na Seal Uhalisia kuna utofauti kubwa.
  9. SaintErick

    Marekani yaandaa na kutuma vikosi barani Asia kwa ajili ya vita na China

    Naam, ni swala la kuangalia namna gan mambo haya yatafikia ukomo
  10. SaintErick

    Marekani yaandaa na kutuma vikosi barani Asia kwa ajili ya vita na China

    It depends on how you define the word "iliteracy". I am not 'so inteligent'.
  11. SaintErick

    Marekani yaandaa na kutuma vikosi barani Asia kwa ajili ya vita na China

    Ye Naam China anajaribu sana kuzuia vita ila sasa siaza za kikanda na kidunia zinasukuma mataifa mengi kuingia vitani.
Back
Top Bottom