Hivi Farao aliumbwa na nan?na huyo aliefanya moyo wa farao kuwa mgumu je alishindwaje kuulainisha ili waisraeli waendelee kuishi Misri kwa amani?Je has wazaliwa wa kwanza katika kila nyumba ya mmisri walikuwa na kosa gani mpaka wauwawe?
Kirobotokatika mashamba ya bangi ni POepole,
Ngoja nijaribu kufungua code Kiroboto Katika mashamba ya bangi ni Polepole,Sigara brand ni Bashiru,Kismayu ni Kinana, Yupo ni Wasira,
Labda unajitoa ufahamu bila kujijua!je hizo vita au hivyo vikundi vya kigaidi katika hizo nchi unazoziita za kiislamu vimetengenezwa na nani?je silaha vinatoa wapi?je kongo nayo ni nchi ya kiislamu?au hitler alikua sheikh?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.