Asanteni sana kwa kuja ila mjue kizazi kijacho kitautaka ukweli historia ya tanganyika ni butu na sijui kwa nn kwa maksudi mazima imefanywa iwe butu ila ipo siku mtakimbiana tu hilo mlitambue lipo tatizo
Unafikiri akitokea wa kumfunga paka kengele c anaweza na yeye kufungwa kengele akalilia nsituni ukiambiwa nchi ya kijamaa ujamaa wenyewe ni kizuri kula na rafikiyo hatuna serikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.