Recent content by Saidi malolo

  1. S

    Biashara ya dagaa nyama

    Kaka apo inabid tuelewane kweny suala la nauli
  2. S

    Biashara ya dagaa nyama

    Kabsa mzee baba
  3. S

    Biashara ya dagaa nyama

    I Kwa kilo inategemea ulipo ww ila dar nauza 8000
  4. S

    Biashara ya dagaa nyama

    Natafuta watu mbalimbali wa kufanya nao bishara wa dagaa nyama .mimi nipo kilwa nazalisha dagaa nyama nimeanza mda kidogo lakini sina wateja wa kutosha natamani nipate mtu kwa baadhi ya sehemu nice nawapelekea mzigo sehemu kama dar es salaam. Kibaha morogoro dodoma chalinze na kwengine
  5. S

    SoC04 Mabadiliko katika upatikanaji wa Spika wa Bunge na Mawaziri

    Spika wa Bunge asichaguliwe kutoka miongoni mwa Wabunge na pamoja na Mawaziri Spika wa Bunge huyu ndie Kiongozi Mkuu wa Bunge, na mfumo uliopo sasa Spika wa Bunge na Naibu Spika wanatoka miongoni mwa Wabunge ndio anakuwa Spika. Tukumbuke kuwa Bunge ni sehemu muhimu kwasababu ndio sehemu...
  6. S

    SoC04 Mfumo wa kutambua wasomi

    Mfumo wa kutambua wasomi wote nchini Katika miaka ijayo serikali chini ya wizara ajira na kazi itengeneze mfumo maalumu wa kutambua wasomi wa kada zote nchini na kwa hatua zote za elimu .mfumo huo utakao tumiwa na wasomi kuweka taarifa zao za elimu. Hii itamuwezesha muwajiri wowote nchini...
  7. S

    SoC04 Mfumo wa upokeaji matukio ya unyaunyasaji wa kijinsia nchini

    MFUMO UTAKAO SAIDIA KURIPOTI MATUKIO YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NCHINI Kutokana na ongezeko kubwa la matukio ya unyanyasaji wa kijinsia nchini serikali ianzishe mfumo maalumu utakaotumiwa na wananchi kuripoti matukio ya unyanyasaji wa kijinsia kma vile ubakaji. Matukio hayo kwa siku za...
  8. S

    SoC04 Mabadiliko sekta ya elimu

    Elimu ni ni sekta nyeti katika kila nchi dunian ukitaka kuharibu nchi haribu mfumo wa elimu kivipi kwa sababu ukiaalibu mfumo wa elimu umeshaharibu kila kitu kwa mfano ukialimu mfumo wa elimu ndio chanzo za madaktari wasio uelewa, wahandisi watakao tengeneza miundombinu chini ya kiwango na...
  9. S

    SoC04 Tanzania ijayo ili iwe bora lazima lazima ifanyiwe mabadiliko katika sekta hizi

    Andiko linausu Tanzania tuitakayo Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni. Afya: Tanzania kma nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa wa umasikini ambaye ni magonjwa...
  10. S

    Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024

    Wadau tumeona jeshi la polisi limetangaza nafasi za ajira sasa wadau kma mm nimeomba sana huwa sipati naombeeni msaada kma mtu anaweza nisaidia nimeomba kma mara mbili nimekosa saada wadau
Back
Top Bottom