Recent content by Saidi kibiki

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je, unafikiri Tanzania itaendelea kwa hali ya Bunge tulilonalo

    Daaaa akuna bunge bovu kama hili leo tunaona rais anatuonyesha kazi tu wao bado mwaka arubaini na saba ni mipasho tu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe CHADEMA walikuwa sahihi kuwafukuza akina Zitto

    Msimalize maneno atachaguliwa mwingine sijuwi mtasema nini
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi asimamishwa Clouds kwa kutangaza habari ya Paul Makonda, TEF yaitaka mitandao iunge mkono

    Daaa kuweni wa kweri basi ata jina gumu daaa nawalikuwa wangapi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuna mashaka juu ya ukamataji wa makontena yenye Range Rovers

    Daaaa hapa wapi bandarini Au nyumbani kwa mtu nini faida ya kudanganya nini faida ya kumkatisha tamaa mtu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Ukiwa nania ya mungu atauwe pekee utashinda atauwe na njaa watajuwa umeshiba ni kuvumulia tu yote mapito
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

    Yani nchi hiii kweri inawasomi hivi hizi habari zinauzwa au mnatupa bure kama mtafanikiwa basi nyie ni wasomi mkishindwa mje tulime nyanya morogoro
  7. S

    JamiiForums Tanzania LHRC Walaani RC Makonda Kuvamia Clouds Media, Wamtaka Rais Magufuli Amwajibishe

    Nilijiuliza upo kweri mama maana ulikuwa kimya
  8. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

    Siku moja atamnaopiga kelele mtakuwa vingozi kisha mkakosea hivi leo Tanzania atulali atuli kisa mtu atoke akitoka tutanyamaza
  9. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

    Moja yavitu nilivyokuwa na mpenda nape ni msimamo tu
Back
Top Bottom