Kwa wana jukwaaa wote naomba tushirikiane.
..
..Inawezekana wakati unakwenda kwa kasi sana ,lakini watanzania ,na hasa waliopewa nyazifa za kuongoza kama wabunge wasilielewe hili.
.Mimi binafsi nikiangalia namna bunge na wabunge wetu wanavyofanya naona kama hawawezi kutusaidia sana katika kuleta maendeleo Tanzania kwa wakati mwafaka ambao watanzania wengi wanatarajia.
Kuna mambo kadhaa ambayo ninayaangalia;
(1)wabunge wengi hawana ushirikiano na wananchi wao waliowachagua
.Baada ya uchaguzi kumalizika niambie mbunge wako aliwahi kuja jimboni kwako kukutana na wananchi mkamweleza mnataka afanye nini kwa ajili yenu? Ambacho kikifanyika kitawasaidia kuleta ajira yenye malipo mazuri,elimu nzuri,Afya na Ulinzi?
(2)Kama alikuja ,Je! Hakuiishia kuikosoa Serikali bila kutoa maoni ya kupunguza kero za wananchi wake?
(3)Hivi ni wabunge wangapi ambao wamepeleka mapendekezo ya miradi ya maendeleo kwa wananchi wao hadi sasa?
(4)Nina imani kwamba Mh.Rais Magufuli anasubiri wabunge watakao peleka mipango madhubuti ya kimaendeleo inayoweza kutekerezeka na kuwasaidia watanzania ,ataipokea na kutoa pesa kwa sababu ,hawezi kutoa pesa kama haziendi mahali watu wanafanya kazi.