kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,718
- 14,150
Like dissolve like. Kuteuliwa kwa Prof. Kitila kuwa Katibu sio kwa bahati mbaya. Nafasi ya ukatibu mkuu wa wizara ni nafasi ambayo uaminifu wako kwa chama tawala na ilani yake hautiliwi mashaka na mamlaka ya uteuzi. Hii inaonyesha kuwa Prof. Kitila ni kada kwelikweli wa CCM ambaye alikuwa vyama vya upinzani kimkakati. Hivyo kuna ukweli uliopitiliza kuwa ACT ni Part B ya chama tawala.