Recent content by Said5033

  1. Said5033

    JamiiForums Tanzania Magari ya Hybrid yanayofanya vizuri Tanzania

    Uzi mzuri kaka vip wanaosema kipind cha mvua gari za hybrid ni hatari kutumia kwa sababu ya umeme mwingi na je vip unapobadili unaweza kupata original kama ilokuja na gari
  2. Said5033

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuweka akiba kwa wale tunaoanza maisha

    Uzi mzuri ila hapo kwenye mchumba bora uoe tu kuweka ndani
  3. Said5033

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kutoboa kimaisha (biashara) nje ya miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma?

    Nabii hakubaliki kwao usikae comfort zone toka hama mji
Back
Top Bottom