Recent content by said1994

  1. S

    Tunaopitia kwenye nyakati ngumu za kiuchumi na kimaisha, tutiane moyo!

    Polee sana! Kwangu mimi sijaona kama upo kwenye mazingira magumu sana kuliko watu wote hapa Tz Ukitaka kuwa na furaha tazama umejaaliwa nini? Watu wengi hudhani mafanikio ni kuwa na pesa lah!! Kuwa na furaha ni mafanikio pia!! Pima mafanikio sio kwa matokeo bali kwa juhudi kiasi gani...
  2. S

    Sababu za hasira na msongo wa mawazo

    Bila shaka unahitaji kuonana na mshauri wa kisaikolojia Hakuna tatizo lisilo na suluhisho kama wanadamu watafikiri
  3. S

    Sababu za hasira na msongo wa mawazo

    said1994, Nimeshindwa ku-attach pdf file la kitabu cha saikolojia chenye kuelezea namna gani mtu ataepuka msongo wa mawazo na kujitengenezea furaha yake mwenyewe bila kutegemea mke,mume,rafiki,mpenzi,ndugu au jirani Yaani ni practical procedure za kurejesha furaha bila gharama yeyote Matatizo...
  4. S

    Sababu za hasira na msongo wa mawazo

    Habari wana MMU, Baada ya kuona kuwa kumekithiri matukio kama, mauaji,vipigo,kufokewa,kutukanwa,kudharuliwa kwa baadhi ya watu nimekuja kugundua yafuatayo Hasira ina hasara kubwa sana kiafya!!!! Wengi huwa hawana furaha ila hawajui chanzo cha wao kukosa furaha ni kitu gani! Basi hapa...
  5. S

    Huyu mdada wa Dar atanifelisha michongo

    Hapo Kaka inaonekana wewe ni miongoni mwa wanaume wanateswa na mapenzi! Kwa ninavyojua mimi mwanamke akipenda haweki Conditions Hapo bila shaka ukimuacha itakuwa heri kwako kuliko kuendelea kumfuatilia Jambo la kukupongeza umeamua kujenga ulivoona mapenzi sio kipaumbele ila saizi unayumba...
  6. S

    Dada yangu ameniambukiza UKIMWI na hataki tena kunisaidia

    Umeitoa Facebook kwenye page ya IDD MAKENGO bila shaka
  7. S

    Tujadili njia za kumsaidia mtoto kuongeza IQ yake katika ukuaji

    Habari za asubuhi wanajamvi, Nimeleta uzi hapa naamini nitapata msaada wa kimawazo. Kwa kawaida katika makuzi ya watoto malezi yanatofautiana na hivyo kuleta tabia tofautitofauti baina ya familia moja na nyingine au jamii moja na nyingine. Hoja yangu ni kuhusu kuongeza IQ, Creativity and...
  8. S

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Mimi naweza sema ni msomaj pia wa vitabu baadhi ya vitabu mwaka 2019 nimevisoma na kutengeneza top 10 hii hapa nimeona manufaa ya kusoma vitabu, vitabu havitoi ajira wala mitaji ila yapo manufaa nimepata kwenye vitabi ikiwemo namna ya kuishi na marafiki aina zote wema na wasio wema bila...
  9. S

    Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

    kwangu binafsi nachoweza kukushauri dada yangu kwanza angalia furaha yako kama kuwa nae na kuendelea kuteseka kwako ni bora kuliko kuachana nae basi endelea kuvumilia ila navyojua mwanaume habadilishwi anabadilika mwenyewe akijiskia Kama ameonesha ishara hakuhitaji uwe mkewe huna haja ya...
  10. S

    TANZIA Mzee Gabriel Mandara afariki

    Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu sehemu inapostahili
  11. S

    Jamaa afanya mapenzi na wabunge 13 na kutapeli mawaziri na wabunge

    kwa mara ya kwanza nimewahi sit jamiiforums
Back
Top Bottom