Hivi kwann mashabiki hapa Nchini hatuwazagi vitu vya msingi ambavyo vinaweza saidia Taifa in future?Nchi hii ina Mpira gani sasa zaidi ya Siasa ya mpira, Yanga lenyewe ni timu la Mbeleko tu
Uto bwana ogopa sana kuwa na jirani yako Masikini wa mali na akili pia kama unaweza kumrubuni mwambie akuuzie eneo lake la sivyo kila siku usiku bundi watakusumbua yaan uto hawajawahi kuisha vioja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.