Recent content by Said nasrym

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wadau tumvike Dully Sykes Mataji Haya

    Ni wakati sasa Wa Kilimanjaro music awards kuanza kutoa tuzo za life time achievement awards,na tuanzie na duly Sykes, Ali kiba,na wengine wakongwe wapo mpk Leo wanaendekea ku inspire vijana na kusaidia pia
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wakike anatafutwa haraka sana

    Dah poleni sana nikiowaanika sikujua ni vibay nataka kufuta lkn nashindwa kufanya hivyo
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wakike anatafutwa haraka sana

    Sitoweza kumtangaza yeyote naapa maongez yetu PM yatakua ni siri
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wakike anatafutwa haraka sana

    Mh poleni jmn nilio Wa waandika hapa majina sikujua km ni vibay mi mgeni Wa haya mambo jmn samahan nini sana
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wakike anatafutwa haraka sana

    Curious naturally em check me pm
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wakike anatafutwa haraka sana

    Jamani nitumie namba nitawapigia nashindwa kutumia PM kujibu SMS please
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wakike anatafutwa haraka sana

    Swee Sweet16 mi nikajua utani PM jamani nipo serious kweli I need someone kwa maisha niliyobakiza hapa dunian ingawa sio jambo zur kutafuta mtu mtandaoni lkn kwa uzoefu wangu humu watu wapo serious kweli ingawa wengine tukidhan ni utani tu
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wakike anatafutwa haraka sana

    Brightwomen nimeona PM yako lakini nashindwa jins gani naweza kukujibu yan sijui jins ya kutumia pm please nitumie namba yako nitakupigia tafadhali
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wakike anatafutwa haraka sana

    Dah hata single mam poa tu jaman ladies jitokezeni
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wakike anatafutwa haraka sana

    Awe mnene kias mweupe,umri miaka 24 mpaka30 umri wangu 32 Nina kazi ya kuniingzia kipato msomi kidogo km upo tayar please PM
  11. S

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ananinyima Usingizi

    Mmh jamani kumbe shangazi kaishi London dah sidhani km atanielewa aisee ila kiukweli nampenda sana
  12. S

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ananinyima Usingizi

    Mh Mkuu namba kuweka humu noma aje PM jmn mwambieni tuyajenge na nadhani atanielewa tu,I like her swagz confidence
  13. S

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ananinyima Usingizi

    Mi nampenda sana Fatma aka shangazi sijui nafanyaje nimpate aisee km anaona huu uzy anitafute
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mbwa wazidi kuwa kero Jiji la Arusha, tafadhali mkuu wa Mkoa shughulika

    Thanks so much Mkuu upupu napata wapi sijui aisee yan wanalala hapa barazani so papuchi zao zenye damu zinaacha damu hapa ni nje ya gheto langu so naogopa wanaweza hata kuniambukiza magonjwa
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mbwa wazidi kuwa kero Jiji la Arusha, tafadhali mkuu wa Mkoa shughulika

    mimi kwangu wakishafanya wanakaa kibarazan kwangu nje kwahiyo wanaacha damu yan ni kero kubwa so lazima nisafishe damu daily
Back
Top Bottom