Recent content by SAID MTANGI

  1. SAID MTANGI

    Fossils of the empire: We become what we are!

    Kaka inabidi hili andiko uliandike katika vitabu vyako vya kumbukumbuku ili kizazi na kizazi kije kulisoma kuna haya kubwa ya kujenga himaya iliyobora na yenye nguvu katika jamii iliyogizani na watu walifungwa macho kuona mwanga wa mahala walipo...
  2. SAID MTANGI

    Is education better than money?

    Hivi mnakumbuka zamani kwenye debate ile motion ya "Education is better than Money" napenda kujua ulikua una tetea upande gani na sasa hivi upo upande gani? Maana haya maisha ya sasa hayataki ujinga....
  3. SAID MTANGI

    Uchaguzi Zanzibar: Dr. Ali Mohammed Shein atangazwa Rais wa Zanzibar

    Idadi ya washindi pemba ni wangapi kutoka CCM na vyama vingine? Sasa ikiwa uongozi wote utakuwa ni wa CCM nani atakuwa na la kumuliza mwenzio kama akikosea katika hilo baraza la wawakilishi? Pia na yepi malengo mkakati ya UKAWA juu ya huo uchaguzi wa MARUDIO...
Back
Top Bottom