Recent content by Said Mandai

  1. S

    JamiiForums Tanzania 'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    sio ikulu itoe ada elekezi bali kamishna mkuu katika wizara ya elimu ndio anayetakiwa kutoa ada elekezi msipotoshe umma
  2. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

    Tunataka Facts na sio ya kuambiwa na tunahitaji ushahidi wa kuaminika
  3. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

    We ni mjumbe wa kamati ya chadema au hayo umeambiwa na kama umeambiwa akili za kuambiwa changanya na zako
  4. S

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo kufanya mkutano mkubwa Mkoani Simiyu, Bariadi na Maswa

    Ukitoa maoni toa na vithibitisho ili watu tuelewe uliona lini ZZK anaiba au kiongozi yeyote wa ACT anatuhumiwa kwa wizi nafikiri ukitoa ushaidi tutakuelewa zaidi kuliko kutoa maoni au mchango wako na kutuacha njia panda na bila majibu yenye kueleweka
  5. S

    JamiiForums Tanzania (Audio) Hotuba ya Mnyika akimshambulia Zitto na kusema ni adui yao

    CDM hawana sera kazi wakienda kwenye mikutano badala ya kuwaambia wananchi wakiwachagua watawafanyia nini wanaanza kupiga siasa za maji taka za kuwasema chama cha tawala au ZZK na ACT na huwa wana mfumo wa siasa za kiuanaharakati ambazo aina hizo za siasa huwa zinahusu maandamano siasa ambazo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania ITV haikuonyesha mkutano wa Zitto Mwanza yaonyesha wa Mnyika Musoma

    Ya Mengi yamekwishaisha ila inawezekana ukaonyeshwa kesho Kwenye habari ya asubuhi ya saa 12 au saa 1 basi kama sivyo basi ripota wa ITV ambaye ni MABELE MAKUBI hakwenda kucover hiyo stori
  7. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkutano Wa ACT-Wazalendo, Shinyanga (Tarehe 19 Aprili, 2015 )

    Siasa si matusi bali ni sera
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba mnieleweshe maana ya ''ngekewa''

    (uchawi)
  9. S

    JamiiForums Tanzania Makengeza huitwaje kwa Kiingereza?

    we umetisha nahisi kwenye somo hili la kiingereza ulikuwa unatisha sana
  10. S

    JamiiForums Tanzania Makengeza huitwaje kwa Kiingereza?

    hili naona pia kama linafaa trick
Back
Top Bottom