Recent content by said macho

  1. said macho

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kunlock halotel mifi zte model r6601

    firmware ya model mFi_04311D naipataje au naweza tumia firmware hyo hyo ya model
  2. said macho

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tatizo LA ngozi na matibabu yake

    Habari wana Jf Tatizo langu ngozi yangu ya uso inakuwa inajitengeneza vipele mpaka inafikia kama jipu na ukivishika unahisi kama vimetunga usaha ila avijitengenezi pakutokea inaweza ikakauka ila sehemu nyingine kinatokea kinakuwa hivyo na vinauma naombeni msaada
  3. said macho

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ukisoma community healthy inaweza ikakusaidia kusoma kozi nyingne za afya

    mimi kijana nimemakiza form four mwaka 2014 nitaka kujua ukisoma community healthy inaweza ikakusaidia kusoma kozi nyingne za afya maana sikusoma physics peke yake nimepata je inaweza ikanisaidia niweze kusoma kozi ya maabara nikisoma community healthy
  4. said macho

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUFAHANU

    Habari wana JF naombeni mnijuze juu ya tofauti za level hizi za NTA4 na NTA5
  5. said macho

    JamiiForums Tanzania MSAADA

    Habari zenu wana JF naombeni mnitofautishie kati ya LEVEL HIZI NTA5 na NTA4
  6. said macho

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    Nataka kusoma kozi ya diagnosis and radiography nakijua chuo kimoja kinachotoa hii kozi nataka kujua kingine
Back
Top Bottom