Recent content by Said BARGHASH

  1. S

    JamiiForums Tanzania Lipumba achochea tena udini: Waumini walishwa kiapo!

    Mbona siwaelewi? Tatizo sio CCM, TATIZO NI UISLAMU. Ifahamike kwamba, endapo masuala haya ya UDINI ndiyo yanayoingia zaid kwenye siasa za Tznzania, basi si muda mrefu Amani ya nchi hii itatoweka. Enyi Chadema, kama kweli mnadhan Udin ndiyo utakaokipa ushindi chama, hapo mmechemka. Waislamu wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tupeni FEEDBACK sasa! Inamaana Mnaomba wachumba HAMUWAPATI?

    hongera, vp mshafunga pingu?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tupeni FEEDBACK sasa! Inamaana Mnaomba wachumba HAMUWAPATI?

    Nduguni, posts za kutafuta wachumba na wapenzi ni nyingi mno, mbona hamturejeshei majibu?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanaume wenye wake 2 na kuendelea

    Pole ndugu, mkeo hapo mapenzi yamepungua kabisa, na nadhani ameokoka kimakusudi kabisa ili akukomoe hvyo ukidhan ndiyo ulokole wake kumbe anakufanyia kusudi. Sikiliza Wewe kuwa mpole zaid, badilika jifanye mwenye mawazo mnyonge na huna amani, kila uwapo nyumbani kuwa hvyo, atajiuliza maswali...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli unaweza kumpata mwanamke umtakaye kupitia kwa Mganga?

    Hiyo ni kweli ndugu, lkn ninachojiuliza ni kuwa, kwa nn hv sasa matangazo ya waganga yameongezeka zaid? Kila kona hadi vochochoroni inamaana wateja ni wengi sana! Je inamaana wanafanikiwa mambo yao?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli unaweza kumpata mwanamke umtakaye kupitia kwa Mganga?

    Naomben kujua, hv ni kweli kabisa unaweza kumpata mwanamke yeyote umtakaye kupitia kwa Mganga?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nimeona chupi ya ajabu!

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni, hii yote ni sisi wa kaka kupenda Makalio Makubwa. Hilo ni Janga la Wababa.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kashikwa ugoni 'Live', adhabu aliyopewa ni majanga

    Aisee hiyo ni balaa, huyo jamaa ndiyo mwisho na mwanzo wake, harudii tena. Jaman mke wa mtu sumu, Alaah!
Back
Top Bottom