Recent content by Sahoni

  1. S

    JamiiForums Tanzania Leopard tours ya Arusha na unyanyasaji wa madereva

    Mnapoandika na nyie wakati mwingine mshirikishe ubongo huko Thomson na Kibo kungekuwa na nafasi wangeshaenda huko hiyo inaonyesha kuwa ajira ni ngumu na unapopata unatetea haki yako sio unakimbia... So leo tunavyotolea mifano mataifa mingine ina maana unataka kutuambia tuhame nchi? Jaribu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Leopard tours ya Arusha na unyanyasaji wa madereva

    Laki si Pesa kama huna cha kuandika kaa kimya unawezaje kutaja mali ya mtu mwingine kuwa ni ya Fadhal? Halafu sio bugaloo ni Bougaloo na ni mali ya Seif wala sio Fadhal...... Pia anaitwa Fadhal na sio faisal hujui kaa kimya
  3. S

    JamiiForums Tanzania Leopard tours ya Arusha na unyanyasaji wa madereva

    Mussa Allan wamekuja na tuhuma maana wao na bosi wao wako njia moja labda....
  4. S

    JamiiForums Tanzania Leopard tours ya Arusha na unyanyasaji wa madereva

    Comment ya kupuuzi kuliko
  5. S

    JamiiForums Tanzania Leopard tours ya Arusha na unyanyasaji wa madereva

    Hivi wewe unaandika kwa kutumia akili yako au sehemu fulani ya mwili? Unauliza eti mbona yeye peke yake wewe ulitaka waandike wangapi ndio uone kuna tatizo? Paza sauti swali hilo ni la kupuuzi sana ina maana hata Nyerere alivyoenda kudai uhuru angeulizwa mbona umekuja UN mwenyewe watanganyika...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwachafuka, Mkuu wa Mkoa apigwa mawe! Lema asakwa na polisi

    hali ni tete chuo cha uhasibu arusha baada ya wanafunzi kuandamana ndani ya chuo na kutaka kuonana na uongozi wa polisi wa mkoa wa arusha baada ya mwanachuo mwenzao kuuawa kwa kuchomwa na kisu shingoni jana usiku maeneo ya sda,ocd wa arusha na mbuge wa arusha mjini wamefika eneo la tukio...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Asante Zitto kwa kutufumbua macho
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vijana, msifanye makosa kama niliyofanya. Kujiunga na CHADEMA ni sawa na kucheza karata tatu!

    Akili nyingine sijui zinafikiria nini? Yani KIJANA HANA NAULI YA BASI WALA YA KULIPIA CHUMBA LAKINI ANA HELA ZA MCHANGO????? Wakati mwingine ukiwa unataka kudanganya fikiri kwanza.... Alipata wapi hela ya kuchangia akose nauli kama huo sio UONGO WA KIJINGA KABISA?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    nakusaidia kukuelewesha kwamba majimbo yanatuunganisha kuliko mikoa,majimbo yanachanganya makabila mengi kuliko mikoa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    hakuna unachofahamu: nakusaidia kukuelewesha kwamba majimbo yanatuunganisha kuliko mikoa,majimbo yanachanganya makabila mengi kuliko mikoa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Kipekee miko ndio imegawa watu majimbo yanaunganisha watu wa mikoa tofauti huyo jicho la 3 ni kweli jicho lake ni la tatu maana limejificha na kufichwa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Hivi ni kipi chenye manufaa zaidi kwa taifa kuwa na wakuu wa mikoa zaidi ya 30 na kuwalipa kodi za wantanzania ambao hata mlo mmoja hawawezi kula ama kuunganisha mikoa na kuwa na viongozi wachache ambapo hela zitatumika kuwahudumia Watanzania? kuhusu ukabila nadhani wewe ndio uko kikabila zaidi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Hapo useme mwenyewe maana hili la udini mlilianzisha wakati wa kampeni zenu ccm sasa linawatesa hamuezi tena kulizuia tafakari mambo kabla ya kuandika ama kusema
  14. S

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA...!

    Yaani kilaza ni kilaza tu huku unang'ang'ani chama ni cha kikanda halafu bado unadai wewe bado ni Kiongozi hiyo ni akili ama matope kama chama hakikufai si uondoke.... Huku unakuponda na bado unang'ang'ani huko??? Jitafakari binti fikiri kabla ya kunena...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa Jaji Rwakibalira Ingekuwaje?

    Jamani huyo jaji amepooza mwili siku nyingi wala hajui kinachoendelea sasa hivi
Back
Top Bottom